Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Wana-wa-Mtaa wa Lumumba wanawaita mabeberu, lakini mabeberu hawa hawapindishi mambo lazima walipewa za uso hawa wana CCM Mpya ndiyo maana mpaka sasa ofisi ya Katibu Mkuu CCM au ile ya Ideology na Uenezi ya Humphrey Polepole hawajatoa taarifa kwa umma mazungumzo hayo yalikuwa yamegusia masuala gani.
Kwako johnthebaptist.
 
Hii ya kuwanunua mawakala wala sio mbinu mpya. Tangu 2010 mpango ni huu hasa kwenye maeneo ambayo CCM wanajua hawana chao

Mawakala wengi wa upinzani hawalipwi vyema. Nakumbuka 2015 ni kama vile mtu kama Mnyika aliwapa 5000 mawakala wake.

Imagine 5000 against 300,000/- kutoka CCM. For many hii ni one chance after every 5 years!
 
Safi kabisa Balozi amemfuata Bashiru alipo, ila yule kibaraka yeye ataenda nyumbani kwa balozi.

Unaona tofauti sasa

Hivi unaongeaga utoto dogo? Amemfuata nje ya nchi au hapa hapa Dar?
 
Hii ya kuwanunua mawakala wala sio mbinu mpya. Tangu 2010 mpango ni huu hasa kwenye maeneo ambayo CCM wanajua hawana chao

Mawakala wengi wa upinzani hawalipwi vyema. Nakumbuka 2015 ni kama vile mtu kama Mnyika aliwapa 5000 mawakala wake.

Imagine 5000 against 300,000/- kutoka CCM. For many hii ni one chance after every 5 years!
Ila CDM wanatakiwa watafute hela za kulipa mawakala vizuri kwa namna yeyote
 
Maendeleo ya Watu, si vitu haaaa haaaa
Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.

ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!

Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Duh...sijui umefika darasa la ngapi wewe...hiyo ni shida kwa hakika uelewa wa mambo na hata elimu yako...mtu unaweza ukawa huna elimu lakini ukawa na uelewa wa issues, busara na hekima...wewe umekosa vyote...hu
na elimu...huna uelewa wa mambo...huna busara...huna hekima....

Magufuli ni Rais wa nchi, ni Head of state...na commander in chief of the armed forces...Rais Magufuli hawezi kwenda kwa Balozi...ila Balozi ndiye inabidi aombe Kama anataka kumuona na apangiwe muda...Balozi ataomba aonane na mtu mwingine akitaka...na Sasa ameomba akutane na Dk. Bashiru na amempa muda wa kuongea naye...

Usimchukulie Rais kuwa sawa na Lissu wenu...wako tofauti kabisa...usimchukulie Magufuli kuwa sawa na Balozi wa nyumba kumi...

Kuandika hapa kuwa eti Magufuli anakimbia ni kielelezo Cha uwezo wako mdogo na wa chini kabisa kuhusu uelewa wa issues mbalimbali...

Kama ilikuwa huelewi nchi zote duniani ikiwemo Marekani zinajua Magufuli atashinda Urais ...mpaka Sasa projections intelligence sources mbalimbali kuhusu ushindi wa JPM ni between 75 percent to 86 percent..
CIA wanaijua hivyo...Mosad wanajua hivyo..MI5 wanajua hivyo.

Lissu mwenyewe anajua hivyo...Beberu Amsterdam naye anajua hivyo

Ila kinachifanyika Sasa na akina Amsterdam, Lissu na vibaraka is just to create fear and Tanzanians ionekane kuwa pengine Lissu ana wafuasi wengi...

Mitego yote waliyotega mabeberu ili ionekane serikali ni wabaya imeteguliwa so far...yamebaki matukio madogo madogo ya kutengenezwa...sijui ya boat huko ukerewe, mawe huko Chato na kadhalika...
 
Acha Gubu mkuu.

Cdm wapuuzi sana. Unakwamisha miradi ya kusaidia wananchi kwa kigezo kuwa itaipa sifa CCM na JPM. Mwaka 2015 walimtoa DR Slaa ili wale fedha za EL. Hawa si wahuni tu wa kawaida khalafu iko mijitu inahangaika na Lissu, inakera wakati mwengine.
 
Back
Top Bottom