Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Atakuwa amejitambulisha ni mhusika.Bashiru ni mgombea wa Chama gani? Maana Balozi alitaka akutane na Wagombea wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi huu wa 28.10.2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa amejitambulisha ni mhusika.Bashiru ni mgombea wa Chama gani? Maana Balozi alitaka akutane na Wagombea wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi huu wa 28.10.2020
Jamaa ni mhutu?Wahutu ndio walivyo .
Usitukane tunaona vitendo vya upendeleoPumbavu kigogo aende yeye sasa kuwa msimamizi nchi haiendeshwi kwa umbeya umbea.
Aliyetakiwa akutane na mgombea urais imekuwaje?Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.
Source Watetezi tv
Maendeleo hayana vyama!
Kawe wewe sasa msimamiziUsitukane tunaona vitendo vya upendeleo
Mpuuzi wewe unaelewa nini unashabikia mateso na unyanyasajiKawe wewe sasa msimamizi
Unafikra finyu wewe. Udikteta unaujua au unausikia?? Jambo usolijua litakusumbuaMzee wa tumia dola kubakia kwenye dola!.Imagine ni PhD inahimiza udikteta
CCM wanafanya mambo ya ajabu hata hili wala huwezi kubisha kuwa hawatafanya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utakuta kabinet nzima ya chadema inaamini huu uharo wa kigogo hivi hiyo laki 5 utahonga mawakala wangapi nzima? Hizo hela za kuchezea hivyo huyo jamaa yenu anafikiri ni makaratasi?
Nyie Bavicha ACHENI kupotosha Rais alisema hivi...Mr President I am trying to Preach but I can not Reach You..nafikiri alimaanisha Mh.Rais najaribu kuongea /kuhutubia kwa Kiddhungu lakini sikufikii wewe!Hahaha wapiga kura wa wapi lumumba?!
Huwa anatudanfanya sisi na kiingereza cha hovyo hovyo sasa ndio muda akaonyeshe anaweza.
Your excellency...I am preaching to you... but you are not reachable ...!
1.Kutumia polisi kuvuruga mikutano ya akina Ester Bulaya ni udiktetaUnafikra finyu wewe. Udikteta unaujua au unausikia?? Jambo usolijua litakusumbua
CIA linaendelea kupata ushahidi kwa mbinu za kimedari....when you think you are safe........!! 😅😅Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.
Source Watetezi tv
View attachment 1601057
View attachment 1601060
Maendeleo hayana vyama!
Naona bashiru umeibuka huku kujipigia debe.Katibu Mkui wa CCM ni mmoja wa viongozi makini na mahiri. Utendaji wake unajieleza kwa vitendo' hana makuu pamoja na ukweli kuwa ni mkuu. Hana mbinu za kuwahadaa na kulaghai wananchi na wanachama wa CCM kwa kutumia masinia ya ubwabwa maharagwe. Kiongozi anayejua uongozi ni utumishi si ucelebreti wa kwenda kupiga picha na wasanii wa hollywood.
Kumbuka huyu naye ameibuka baada ya maamuzi sahihi ya Visionary leader JPM. Wezi na mafisadi hawakumtaka huyu' maana walijua ni mwiba wa mikakakati yao ya kutupangia viongozi wa kuliongoza taifa.
Hapa ndio nakuja na mbinu nyingine inayotumiwa na maadui wa ndani na nje wa Taifa la Tanzania. Moja ya mikakati yao ni huu wa kuendelea kupanga nani atakuwa Rais baada ya JPM. Tutakuwa tukirudi kulekule tukiacha Taifa hili likapangiwa rais na genge la wahuni na vibaka waliopewa jina la heshima la mafisadi.