Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.

ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!

Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Unafikiri balozi wa marekani ni mpiga kura wa Tanzania? Magu yupo kwa wapiga kura anaomba kura, hatupotezi mda wa kijinga sisi
 
Unafikiri balozi wa marekani ni mpiga kura wa Tanzania? Magu yupo kwa wapiga kura anaomba kura, hatupotezi mda wa kijinga sisi
Hahaha wapiga kura wa wapi lumumba?!

Huwa anatudanfanya sisi na kiingereza cha hovyo hovyo sasa ndio muda akaonyeshe anaweza.

Your excellency...I am preaching to you... but you are not reachable ...!
 
Hahaha wapiga kura wa wapi lumumba?!

Huwa anatudanfanya sisi na kiingereza cha hovyo hovyo sasa ndio muda akaonyeshe anaweza.

Your excellency...I am preaching to you... but you are not reachable ...!
Kingereza mpaka leo wewe kimekusaidia nini?
 
Bashiru ni mgombea wa Chama gani? Maana Balozi alitaka akutane na Wagombea wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi huu wa 28.10.2020
 
Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.

Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.

Source Watetezi tv

Maendeleo hayana vyama!
Mgombea wa uingereza[emoji16]
 
Back
Top Bottom