Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni Balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na Rais Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyang’anya silaha Hizbullah.
Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamasa ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suala lake lisikike kwa haraka. Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa Mashariki ya Kati na wawe wastaarabu.
Matamko hayo yamemkasirisha Rais wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.