Hili ni Tatizo kuu la Waislam mnatumia Logic fulani kukataa jambo fulani and hali ikiwa si hali mnatumi same logic mliyoikataa mwanzo ili mfunike kikombe mwanaharamu apite hahaha,
Mlikuwa mkipinga sana kuwa uislam ni kwa watu wote duniani, tukawapinga kwa aya zenu weyewe za Allah kuwa Uislam ni for Arabs wa Mecca na jirani ya mji wa Mecca, mkakataa sana tukawonesheni aya kuwa Allah hajawahi send mtume yeyete asiyeongea lugha mama ya watu wa aina yake, so kama wewe sio Muarabu wa Mecca au jiran Mohammad hakuhusu, ni same na Logic yenu ya kusema Yesu alikuja kwa ajili ya Wayahudi, so hamumfuati mkidai hayawahusu ,huku Mkisahau Musa nae pia alikuwa myahudi mnafuata yake mengi tu. huku mkijidai eti alikuwa Muislam and mnamuita Myahudi kichekesho hicho.
So Nachofurahi Muslim mnaelewa sana kuwa Uislam ni for Arabs nyie non-Arabs ni mnajikomba tu kisa Muarabu anapenda watumwa. ukiona picha za weusi middle east wanajiona na wao ni arabs na pure muslims
Unaweza weka chanzo cha hilo neno Quran unalolitohoa kwenye Iqraa? eti Soma hahaha umetoa kwenye Dictionary ya kiarabu au ya ki Syriac? wajua humu jf nikiwa nawakosoa mnadhani nawakosea sana hahaha no mimi najua nyie ni victims wa uongo wa waliowafundisha uislam maana mizizi inayopandwa kwa watoto wa kiislam huwa inashika haswa yaani hata akiujua ukweli anakazia sana. mimi humu jf hamna muslim anayeweza kudebate maana ukishaanza uongo tu hiyo sio debate ulimwenguni huwezi kudebate na lier
Quran ni neno lugha ya syric lililokuwa linatumiwa na Na nchi ya wakristo ya Syria haswa walipokuwa wakitaka kusoma Maandiko - Biblia so ni likely tendo la Kusoma. so Nyie Arabs mnachooita sasa hivi ni Quran enzi hizo ziliitwa Page au jina lingine Msaafu so kitendo cha kusoma msaafu ndio kinaitwa kusoma(Quran)
Napotoa fact alafu unajaribu kuzunguka zunguka na kuokoteza maoni ya watu kama mjinga wa humu
Adiosamigo na anaogopa kusema kaokoteza wapi kuna siku nilimbana akasema anaokoteza wikipedia nilicheka sana hahahaha
and kuna siku nilishagaa alinibishia Yesu hakufa nikampa aya akapotea baadae ndio akawa mwalimu wa kuwaambieni kuwa Yesu alikufa hahahaha alichobakiza kukubali ni kuwa Yesu alifufuka tena na anaamini aliyesurubiwa hakuwa Yesu. na hajui Allah alimnyenyuaje Yesu hadi Fidaus.
Ni udhaifu kusema Allah ameshusha Quran kwa Lugha ya Kiarabu alafu unapewa maushahidi then unasema lugha zimekopa maneno from other language hahahahaha so unarekebisha Quran kuwa Allah ameshusha Quran kwa Lugha ya Kiarabu na lugha zingine za Kukopa hahahahaha your Allah is not smart my friend. wajua pia the word Allah sio Kiarabu too
Ukisema hivyo mean unapingana na aya za Allah automatically.
Let me tell you Hadithi nyingi zinasema Mohammad ameandikiwa Msaafu wake from different people na walikuwa wakitafsiri kwa lugha ya kiarabu and kuna verse kibao waarabu wanamcheka kuwa hayo yote anayoya resite wameshayasikia kutoka kwa hadithi za watu wa kale. alipostukiwa akasema Quran ni maneno yake binafsi kuwa Allah alimruka akamkana Mudy hahaha Quran 66:40
Watafsir wa Mohammad waliokufa au kuuacha uislam kwa kuustukia ni fake alipoanza kuandika yeye au wengine ndio upuuzi ulipoanza ambao leo hii tunacheka tu ukisoma aya yeyote unaishia kucheka tu.
Naomba usome surah At Tariq then uje utuambie ulichoelewa. and am sure hiyo chapter atakuwa ameicopy from sabian maana ndio walikuwa waki worship Stars and Malaika.