Kweni ni urongo?Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na raisi Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyanganya silaha Hizbullah.
Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamas ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suali lake lisikike kwa haraka.Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa mashariki ya kati na wawe wastaarabu,
Matamko hayo yamemkasirisha raisi wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
View attachment 3454398
US envoy prompts outrage in Lebanon after telling media to ‘act civilised’
Let us put the issues in their proper perspective: Waarabu ni waislamu. Na uislamu Imani ya dini na ni mtindo wa maisha ie Uislamu unamuamrisha Muislamu namna ya kuishi maisha ya kila siku. Namna ya kusali, kula, kunawa/kutawaza, kuoga kukojoa , kunya, kuimba, kucheza, kuvaa , mahusiano na majirani, ku-behave etc etc.. Civilisation yao inalindwa na dini yao. To act civilised kwao ni maamrisho ya dini!Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na raisi Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyanganya silaha Hizbullah.
Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamas ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suali lake lisikike kwa haraka.Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa mashariki ya kati na wawe wastaarabu,
Matamko hayo yamemkasirisha raisi wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
View attachment 3454398
US envoy prompts outrage in Lebanon after telling media to ‘act civilised’
Ustaarabu ndio asili yao lakini kama hawautaki ni sahihi kuambiwa kama hivyo.Let us put the issues in their proper perspective: Waarabu ni waislamu. Na uislamu Imani ya dini na ni mtindo wa maisha ie Uislamu unamuamrisha Muislamu namna ya kuishi maisha ya kila siku. Namna ya kusali, kula, kunawa/kutawaza, kuoga kukojoa , kunya, kuimba, kucheza, kuvaa , mahusiano na majirani, ku-behave etc etc.. Civilisation yao inalindwa na dini yao. To act civilised kwao ni maamrisho ya dini!
Ndio ukweli huo wazungu wanajielewa tuache unafki.Wazungu wanaonekana ndio wastaarabu kwa sasa.Akiuliwa mtu wao mmoja inakuwa nongwa kubwa.Na hata wanaowatetea wapalestina wako huko huko kwao.
Wewe br mwaraaab wawapi shehe mm wa masinone tujuuneee owaa teteeni uweusi wenu hayawahusuLet us put the issues in their proper perspective: Waarabu ni waislamu. Na uislamu Imani ya dini na ni mtindo wa maisha ie Uislamu unamuamrisha Muislamu namna ya kuishi maisha ya kila siku. Namna ya kusali, kula, kunawa/kutawaza, kuoga kukojoa , kunya, kuimba, kucheza, kuvaa , mahusiano na majirani, ku-behave etc etc.. Civilisation yao inalindwa na dini yao. To act civilised kwao ni maamrisho ya dini!
Kuna mstali mwembamba sana unaotenganisha Uarabu na uislamuWazungu wanaonekana ndio wastaarabu kwa sasa.Akiuliwa mtu wao mmoja inakuwa nongwa kubwa.Na hata wanaowatetea wapalestina wako huko huko kwao.
Ustaarab ni neno pana sana mfano kwa wazungu wao kutifuana mavi kwao ni ustaarabBalozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na raisi Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyanganya silaha Hizbullah.
Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamas ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suali lake lisikike kwa haraka.Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa mashariki ya kati na wawe wastaarabu,
Matamko hayo yamemkasirisha raisi wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
View attachment 3454398
US envoy prompts outrage in Lebanon after telling media to ‘act civilised’
Kuna uhusiano gani kati ya Uarabu na uislamu?Na Mtume ameshayasema hayo katika hadithi ya Abu Huraira (r.a) aliyoisikia kutoka kwa Mtume Muhammad (SAW), akisema:
"Hakika mtakuja kuwa wengi, lakini mtakuwa kama mapovu ya bahari. Na Allah atafuta hofu kutoka kwa adui zenu na atayafuta vinywa vya adui zenu dhidi yenu. Na mtakuwa na wingi lakini mtagawanyika na kuwa na hofu ndani ya nyoyo zenu." (Sunan Abu Dawood)
Na hadithi nyengine inasema
"Waarabu wataendelea kuwa katika hali ya kufuru na unafiki mpaka watakapokubaliana na ukweli wa Uislamu na umoja wa imani."
(Sunan Abu Dawood)
Wacha awanyee kabisa kweli hawakustarabika kabisa kwanza wanataka kuwan'yangan'ya silaha Hezbullah sa watapigana vipi na Israel bila Hezbullah.Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na raisi Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyanganya silaha Hizbullah.
Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamas ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suali lake lisikike kwa haraka.Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa mashariki ya kati na wawe wastaarabu,
Matamko hayo yamemkasirisha raisi wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
View attachment 3454398
US envoy prompts outrage in Lebanon after telling media to ‘act civilised’
Hakuna uhusiano zaidi ya Qur'an kushuka kwa lugha ya kiarabu na Mtume alikuwa Mwarabu, Uislam na Uarabu ni vitu viwili tofouti kabisa. Indonesia ni nchi inaye Waislam wengi kuliko nchi yoyote ya kiarabu.Kuna uhusiano gani kati ya Uarabu na uislamu?
Uhusiano uliyopo unatokana na lugha iliyotumika kufikishwa Ujumbe wa Mungu angalia Katika Qur'an 13:37 na 12:2,Kuna uhusiano gani kati ya Uarabu na uislamu?
Sasa kama ni kiarabu mbona kuna thousands of words ambayo sio kiarabu? Ukianzia na neno lenyewe Quran, maana mwanzo iliitwa saaf yaani kurasa, ukienda maneno baadhi tu niyajuayo sio kiarabu, Like Jehanam,Injil,Yah-sin, Estabra -Nguo za Hariri za Iran ambazo Allah atawapa waislam yaani ata import kutoka kwa Ayatollah hadi firdaus hahaha, Quran 19:1 sio kiarabu na waarabu wenyewe hawajui nini kimeandikwa hahaha Kaf, Ha, Ya, ‘Ayn, Sad.Uhusiano uliyopo unatokana na lugha iliyotumika kufikishwa Ujumbe wa Mungu angalia Katika Qur'an 13:37 na 12:2,
Hiyo Aya inayosema hivyo inamhusisha na Yesu au imemuexcluded? Maana Mama yake Issa hakumjua Mwanamume! before. So hii ni proof kuwa Allah ndie Baba Mzazi wa Issa, SO Allah anatakiwa aitwe Baba Issa.Na Allah anasema katika Qur'an 49:13
"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari".