Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

Inaonesha hujaelewa hizo Aya Allah ameleta Qur'an kwa lugha yao wanayoielewa, Swala la kukopa maneno ndiyo Asili ya ya Lugha nyingi Duniani.

Neno Qur'an ni neno la kiarabu limetokana na neno Qara_a/Iqraa lenye maana kusoma au soma n.k

Na kuhusu herufi za Alif laam mim n.k hizo niheru ambazo Allah mwenyewe ndiye anayejua zaidi, na kuna elimu zingine Allah amewapa wachache miongoni mwetu na hayo nimaauzi yake.
 
Wacha awanyee kabisa kweli hawakustarabika kabisa kwanza wanataka kuwan'yangan'ya silaha Hezbullah sa watapigana vipi na Israel bila Hezbullah.

Watukane tu tena mara ya pili wambie hata huyo Rais wa Lebanon wao ndio waliwachagulia na PM
Waliwaweka wao na sasa wanataka afanya kazi waliyomwekea .
Wanaona kama kwamba Hizbullah anawazibia njia.
Na raisi anarefusha muda kabla hali haijawageukia.US na Israel wana papara sana ya kutangaza ushindi.
Nakumbuka Trump alitangaza ushindi dhidi ya Iran akiwa angani baada ya kusikia makamanda wakuu wa majeshi wa Iran wameuliwa.Kumbe hali ilikuwa bado kabisa mpaka siku kambi yake ilipopigwa kule Qattar ndio akatia akili.
 
Hapo 👆🏽 umekosea, Uarabu si Uislam
na ndiyo maana Allah akasema katika Qur'an 49:13
"Enyi watu! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumewafanya mataifa na makabila ili mjuane. Hakika mtukufu zaidi yenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni aliye mcha Mungu zaidi yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye habari".

Maana waarabu wana mila zao ambazo zilikuwa kinyume na Uislamu .
 
Ndivyo ilivyo. Waafrika ndio No 1 wakifuatiwa na hao Waarabu. Ukitaka kufahamu nenda kwenye nchi zao. Mafuta tu ndio inawabeba waarabu.
 
Inaonesha hujaelewa hizo Aya Allah ameleta Qur'an kwa lugha yao wanayoielewa, Swala la kukopa maneno ndiyo Asili ya ya Lugha nyingi Duniani.

Neno Qur'an ni neno la kiarabu limetokana na neno Qara_a/Iqraa lenye maana kusoma au soma n.k

Na kuhusu herufi za Alif laam mim n.k hizo niheru ambazo Allah mwenyewe ndiye anayejua zaidi, na kuna elimu zingine Allah amewapa wachache miongoni mwetu na hayo nimaauzi yake.
 
Ndugu Qur'an inasema
أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ Afallaa Yatadabiruuni Al Qur'an usiseme kuna Surah zingine siri ya Mungu si kweli. Kuna Masheikh wanatafsiri hizo Surah za Qur'an. Hakuna kitu kama elimu na Mwenyezi Mungu kitu cha kwanza alipo shush Sura Iqra alikusadia someni ili awape elimu ambayo hamkuwa nayo mwanzoni.
 
Nikweli ndiyo maana mwisho nimeweka isipokuwa wachache,sijalifunga kwa kumaanisha kuna walio fahamishwa, kama ilivyokuwa katika kisa cha Nabii Musa na Khidhr katika Qur'an, kwahiyo (wafawka kuli dhii ilmi aliim) "Juu ya kila mjuzi Kuna mjuzi zaidi".
 
Nikweli ndiyo maana mwisho nimeweka isipokuwa wachache,sijalifunga kwa kumaanisha kuna walio fahamishwa, kama ilivyokuwa katika kisa cha Nabii Musa na Khidhr katika Qur'an, kwahiyo (wafawka kuli dhii ilmi aliim) "Juu ya kila mjuzi Kuna mjuzi zaidi".
Ndugu, safi sana tuko pamoja sana.
 
Inaonesha hujaelewa hizo Aya Allah ameleta Qur'an kwa lugha yao wanayoielewa, Swala la kukopa maneno ndiyo Asili ya ya Lugha nyingi Duniani.
Hili ni Tatizo kuu la Waislam mnatumia Logic fulani kukataa jambo fulani and hali ikiwa si hali mnatumi same logic mliyoikataa mwanzo ili mfunike kikombe mwanaharamu apite hahaha,

Mlikuwa mkipinga sana kuwa uislam ni kwa watu wote duniani, tukawapinga kwa aya zenu weyewe za Allah kuwa Uislam ni for Arabs wa Mecca na jirani ya mji wa Mecca, mkakataa sana tukawonesheni aya kuwa Allah hajawahi send mtume yeyete asiyeongea lugha mama ya watu wa aina yake, so kama wewe sio Muarabu wa Mecca au jiran Mohammad hakuhusu, ni same na Logic yenu ya kusema Yesu alikuja kwa ajili ya Wayahudi, so hamumfuati mkidai hayawahusu ,huku Mkisahau Musa nae pia alikuwa myahudi mnafuata yake mengi tu. huku mkijidai eti alikuwa Muislam and mnamuita Myahudi kichekesho hicho.

So Nachofurahi Muslim mnaelewa sana kuwa Uislam ni for Arabs nyie non-Arabs ni mnajikomba tu kisa Muarabu anapenda watumwa. ukiona picha za weusi middle east wanajiona na wao ni arabs na pure muslims
Neno Qur'an ni neno la kiarabu limetokana na neno Qara_a/Iqraa lenye maana kusoma au soma n.k
Unaweza weka chanzo cha hilo neno Quran unalolitohoa kwenye Iqraa? eti Soma hahaha umetoa kwenye Dictionary ya kiarabu au ya ki Syriac? wajua humu jf nikiwa nawakosoa mnadhani nawakosea sana hahaha no mimi najua nyie ni victims wa uongo wa waliowafundisha uislam maana mizizi inayopandwa kwa watoto wa kiislam huwa inashika haswa yaani hata akiujua ukweli anakazia sana. mimi humu jf hamna muslim anayeweza kudebate maana ukishaanza uongo tu hiyo sio debate ulimwenguni huwezi kudebate na lier

Quran ni neno lugha ya syric lililokuwa linatumiwa na Na nchi ya wakristo ya Syria haswa walipokuwa wakitaka kusoma Maandiko - Biblia so ni likely tendo la Kusoma. so Nyie Arabs mnachooita sasa hivi ni Quran enzi hizo ziliitwa Page au jina lingine Msaafu so kitendo cha kusoma msaafu ndio kinaitwa kusoma(Quran)

Napotoa fact alafu unajaribu kuzunguka zunguka na kuokoteza maoni ya watu kama mjinga wa humu Adiosamigo na anaogopa kusema kaokoteza wapi kuna siku nilimbana akasema anaokoteza wikipedia nilicheka sana hahahaha
and kuna siku nilishagaa alinibishia Yesu hakufa nikampa aya akapotea baadae ndio akawa mwalimu wa kuwaambieni kuwa Yesu alikufa hahahaha alichobakiza kukubali ni kuwa Yesu alifufuka tena na anaamini aliyesurubiwa hakuwa Yesu. na hajui Allah alimnyenyuaje Yesu hadi Fidaus.

Ni udhaifu kusema Allah ameshusha Quran kwa Lugha ya Kiarabu alafu unapewa maushahidi then unasema lugha zimekopa maneno from other language hahahahaha so unarekebisha Quran kuwa Allah ameshusha Quran kwa Lugha ya Kiarabu na lugha zingine za Kukopa hahahahaha your Allah is not smart my friend. wajua pia the word Allah sio Kiarabu too

Na kuhusu herufi za Alif laam mim n.k hizo niheru ambazo Allah mwenyewe ndiye anayejua zaidi, na kuna elimu zingine Allah amewapa wachache miongoni mwetu na hayo nimaauzi yake.
Ukisema hivyo mean unapingana na aya za Allah automatically.

Let me tell you Hadithi nyingi zinasema Mohammad ameandikiwa Msaafu wake from different people na walikuwa wakitafsiri kwa lugha ya kiarabu and kuna verse kibao waarabu wanamcheka kuwa hayo yote anayoya resite wameshayasikia kutoka kwa hadithi za watu wa kale. alipostukiwa akasema Quran ni maneno yake binafsi kuwa Allah alimruka akamkana Mudy hahaha Quran 66:40

Watafsir wa Mohammad waliokufa au kuuacha uislam kwa kuustukia ni fake alipoanza kuandika yeye au wengine ndio upuuzi ulipoanza ambao leo hii tunacheka tu ukisoma aya yeyote unaishia kucheka tu.

Naomba usome surah At Tariq then uje utuambie ulichoelewa. and am sure hiyo chapter atakuwa ameicopy from sabian maana ndio walikuwa waki worship Stars and Malaika.
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=5vhKfIvltRE
 
Wanaojiita waliostaaribika ndo wanawashambulia hospitali na wanahabari wakiwa live
 
Tumewaumba....hapa allah kuna alioshirikiana nao.Kumbuka allah hafananishwi na chochote!
 
wewe pia si ni shehe hizo aya nilikuuliza ulikwama kutafsiri. na sio kwamba mmeshindwa kutafsiri jitihada za kutafsiri ni lazima utumie hesabu za ki aramaic code so hayo maneno ukiyatafsiri kwa number code uislam unakuwa umeisha hapo hapo wanazuoni wanajua sana. na waliamua kuacha. na wewe nilishakuonesha how it works to translate word. i know mnajua hizo copy za story za agano la kale za Musa,Ayubu Suleiman n.k waliointerpretate from aramaic to Arabic maneno mengine walishindwa wakayaacha kama yalivyo kutokana na ufinyu wa lugha ya kiarabu so kujifanya sijui Allah knows best ni ukuda tu Quran sio ya Allah ni uzushi mtupu, even Mudy aliulizwa enh tuelezee Jibril alikuwa anashushaje Quran? akajiu sometimes kwa sauti za Kengere hahahaha sasa ring tone uitafsir kwa Lugha ya kiarabu ieleweke? hahaha Mudy was Taperi sana.

Na mkitaka kumng'ang'ania Allah eti ndie msemaji how come anaongea stupid things kuhusu uumbaji, Binadamu tu katajwa alivyoumbwa kuna utofauti zaidi ya Mara tatu, Mara Sperms,Mara kunfaya kun, Mara udongo matra by Water. and aya zingine unaona tu kuwa Allah anaona juu angani kama sisi tunavyoona, jua kupotea,mwezi kuwa nusu n.k
 
Nikweli ndiyo maana mwisho nimeweka isipokuwa wachache,sijalifunga kwa kumaanisha kuna walio fahamishwa, kama ilivyokuwa katika kisa cha Nabii Musa na Khidhr katika Qur'an, kwahiyo (wafawka kuli dhii ilmi aliim) "Juu ya kila mjuzi Kuna mjuzi zaidi".
weka hizo tafsiri za wanazuoni walioweza kuzitafir hayo maneno ya lugha za Aramaic tucheke sote
 
Rudi nyuma katazame wapi nilishindwa kutfsiri, we tatizo lako huwa ukipewa jibu husomi ndio mana mtu kukujibu we ni kupoteza time tu.
 
Unachekesha sana wewe jamaa.Hao waliotafsiri zamani walishindwa lakini wewe ndio umeweza kujua hizo code
 
Unachekesha sana wewe jamaa.Hao waliotafsiri zamani walishindwa lakini wewe ndio umeweza kujua hizo code
Huyu Mlaleo ni muongo sana afu nahisi mimi anautamani Uislam lakini anaona aibu kusema dini alio kuja nayo Paulo ni ya fake, sababu kanisa litamchukulia v8 walio mpaa 🤣

Huyo akipita utamuona kapiga full suite lakini hakosi harufu ya mavi, hachambi kwa maji yeye ni toilet paper tu, ule mnato wa chocolate unabaki mpaa siku akiogo ndio unaondoka.
 
Wanaojiita waliostaaribika ndo wanawashambulia hospitali na wanahabari wakiwa live
Wakristo na Wayahudi ni wachache sana wenye kujua ustarabu.

Ustarabu kwanza unanza kwenye imani vipi, mtafungia watu chakula, maji, umeme, dawa n.k.

Hawawezi vita bila kupiga sunction fatilia vita vyao hao USA, na Israel Silaha walizo nazo zote zile na technology ilio juu kabisa bado wanaogopa kupigana na mtu mwenye bunduki mpaa wampige sunction 😂
 
Kufanyiwa dhihaka kwa Mtume Muhammad sijambo geni kwa Manabii

Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui.

In Arabic, the word "Quran" (Qurʾān, ٱلْقُرْآن‎) literally means "the recitation" or "the reading," derived from the verb qaraʾa (قَرَأَ), "to read" or "to recite". It is the name of the central religious text of Islam, which Muslims believe to be a revelation from God (Allah) to the Prophet Muhammad, and it is considered the finest work of Arabic literature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…