Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Litakalo kuwa na litakuwa hivyo; lakini lililo na uhakika ni kwamba hali haiwezi kuendelea kama ilivyo sasa. Kuwa na bunduki na hayo magari yote si hakika ya kulazimisha matakwa ya viongozi wabovu juu ya raia.
 
Karibu mbezi beach, nyumbani kabisa Rulenge Ngara.

Sina hulka za kibaguzi na namuomba Mungu siku zote nisijekuwa mbaguzi.
Tatizo la hili ni moja. Kila mtu hujifikiria kuwa na sifa za aina hiyo.
Kwa hiyo siyo sahihi kujidhani tu kwamba mtu binafsi hana hulka hiyo, na kujitangaza mwenyewe kwa wengine kuwa yupo hivyo.
 
Kama huelewi.
"Acha ngebe , mbona upo kuganjani."
Kuelewa nini? Kwamba Balozi huyu wa Marekani na mamluki wao wa mitandaoni wanachochea ukuu wa Wazungu. Yaani white supremacy?

The Ambassador is perpetuating the old narrative white supremacy -bigotry and racism
Hayo maswali waulize viongozi wako wanaopokea hiyo misaada.Ukipewa msaada au mkopo wewe ukaenda kuufuja usifanye cha maana kosa nila aliyekupa au wewe uliyepewa?.Au hujui matatizo ya viongozi wa Afrika tukupe mifano.

Hama nchi tu.
 
Unauliza baada ya kuvimbiwa chanjo za bure za Marekani, mbaazi kutoka USA zinakufanya uonekane Mubaba wa maana vinginevyo ungekuwa skeletonised to death na mwisho wakikata mkono wa sweater sasa hivi una paaarrrraa
😂😂😂😂😂😂😂😂

🤡
 
Kuelewa nini? Kwamba Balozi huyu wa Marekani na mamluki wao wa mitandaoni wanachochea ukuu wa Wazungu. Yaani white supremacy?
Umeuliza swali umejibiwa na si kwamba tunasapoti Marekani bali ukweli kwamba mkono ukulishao waweza kukuchagulia chakula.
Na mind you huyo balozi ana asili ya Afrika.
Political/diplomatic balancing act inatakiwa.
 
Huko Marekani walitaka kumuua Trump sababu mpinzani.. and he has audacity lecturing us about mauaji na utekaji

..Nini kimewatokea waliotaka kumuua Trump?

..Kwanini wanaoteka, kutesa, na kuua, wapinzani hapa Tanzania hawachukuliwi hatua?
 
Wameturamba. Hata jpm alipenda kutukumbusha hawezi kuleta maendeleo kwa wale fyokofyoko. Mama aweza kuwa sawa lakini dunia yamtazama hvawa kaka zetu ×watasema tu. Wanatusemea wanyonge. Mangapi yametokea serikali kimya. Wakisema eti CHADEMA
 
Mnalia sukari na mafuta sasa, wazungu wakikata pipe za msaada hakuna mshahara utalipwa au any imports from china , watu wanasahau hatulimi ngano au mafuta ya petroli na bila dollar ya beberu tunarudi Stone Age
 
Wewe ni CHAWA wa nani? Au wewe ni condom unatumika kisha kutupwa?
 
Karibu mbezi beach, nyumbani kabisa Rulenge Ngara.

Sina hulka za kibaguzi na namuomba Mungu siku zote nisijekuwa mbaguzi.
We utakuwa ni mjinga sn, nimekuliza swali, je wewe unaweza kumiliki ardhi, kugombea au kupewa kitambulisho cha mkazi Zanzibar? swali rahisi kabisa lakini unaruka ruka
 
kwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?

au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒

au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Ase
 
Hii misaada haipo fixed ni kiasi fulani. Inategema budget na mambo mengine. Soma report ya US State department au USAID report.
Wizi mtupu huko USAID. Trump kesha iondoaNa mjengo washatoa mpaka nembo. Kwishney
 
KIko wapi sasa?
 
Anakuelewa vizuri huyo mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…