Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Ninachojua
" MLIPA ZUMARI NDIYE MCHAGUA NYIMBO"
Haya mengine ni kelele tupu.
" MLIPA ZUMARI NDIYE MCHAGUA NYIMBO"
Haya mengine ni kelele tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakalo kuwa na litakuwa hivyo; lakini lililo na uhakika ni kwamba hali haiwezi kuendelea kama ilivyo sasa. Kuwa na bunduki na hayo magari yote si hakika ya kulazimisha matakwa ya viongozi wabovu juu ya raia.Leo asubuhi huku mbezi beach nikifanya jogging nimekutana na landrover tano zimejaa polisi zinashuka kutoka Maringo zinaelekea rainbow.
Mungu apishie mbali haya masuala ya siasa yamalizike kwa amani. Rais wa nchi sio malaika ni mtekelezaji wa ilani za uchaguzi na haimfanyi kufanana na kiumbe asiye na ubinadamu ndani yake.
Tatizo la hili ni moja. Kila mtu hujifikiria kuwa na sifa za aina hiyo.Karibu mbezi beach, nyumbani kabisa Rulenge Ngara.
Sina hulka za kibaguzi na namuomba Mungu siku zote nisijekuwa mbaguzi.
Kuelewa nini? Kwamba Balozi huyu wa Marekani na mamluki wao wa mitandaoni wanachochea ukuu wa Wazungu. Yaani white supremacy?Kama huelewi.
"Acha ngebe , mbona upo kuganjani."
Hayo maswali waulize viongozi wako wanaopokea hiyo misaada.Ukipewa msaada au mkopo wewe ukaenda kuufuja usifanye cha maana kosa nila aliyekupa au wewe uliyepewa?.Au hujui matatizo ya viongozi wa Afrika tukupe mifano.
😂😂😂😂😂😂😂😂Unauliza baada ya kuvimbiwa chanjo za bure za Marekani, mbaazi kutoka USA zinakufanya uonekane Mubaba wa maana vinginevyo ungekuwa skeletonised to death na mwisho wakikata mkono wa sweater sasa hivi una paaarrrraa
Umeuliza swali umejibiwa na si kwamba tunasapoti Marekani bali ukweli kwamba mkono ukulishao waweza kukuchagulia chakula.Kuelewa nini? Kwamba Balozi huyu wa Marekani na mamluki wao wa mitandaoni wanachochea ukuu wa Wazungu. Yaani white supremacy?
Huko Marekani walitaka kumuua Trump sababu mpinzani.. and he has audacity lecturing us about mauaji na utekaji
Wewe ni CHAWA wa nani? Au wewe ni condom unatumika kisha kutupwa?Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Naongelea uhalisia , wewe chawa wa wazungu maana unapewa hifadhi huko ..Tuliza mshono .!Wewe ni CHAWA wa nani? Au wewe ni condom unatumika kisha kutupwa?
We utakuwa ni mjinga sn, nimekuliza swali, je wewe unaweza kumiliki ardhi, kugombea au kupewa kitambulisho cha mkazi Zanzibar? swali rahisi kabisa lakini unaruka rukaKaribu mbezi beach, nyumbani kabisa Rulenge Ngara.
Sina hulka za kibaguzi na namuomba Mungu siku zote nisijekuwa mbaguzi.
kwa kuwa hata misaada hiyo ikisitishwa, kiinua mgongo chako au cha babako kitabaki pale pale, so what?So What?
Asekwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?
au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒
au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Wizi mtupu huko USAID. Trump kesha iondoaNa mjengo washatoa mpaka nembo. KwishneyHii misaada haipo fixed ni kiasi fulani. Inategema budget na mambo mengine. Soma report ya US State department au USAID report.
KIko wapi sasa?Harafu kuna kenge wa CCM, anasema, hii nchi huru hatupangiwi! Pambafu!
Hongera America, bravo Mr Michael battle(balozi wa USA), na kwa wale vilaza wa CCM,
Huyo balozi, Mwanajeshi, mstaafu, ni pastor, na ni carrier diplomat,
Sio hawa, wa kwenu,kikubwa walichonacho, ni kadi za TANU, za, babu zao,na PHD za kuokota,
Kiko wapi?Ataondolewa?
Endelea kusubiri meli airport
Anakuelewa vizuri huyo mzee.Kumbe hujui how diplomats wanaweza ondolewa/expelled katika nchi yoyote, Mkuu wa nchi akisema anataka huyo balozi abadilishwe anaondolewa haraka, kumbuka ni Mh. Rais ali accept barua yake ya kuwa balozi hapa nchini na barua ya balozi Mh. Rais akiikubali anaweza pia kuikataa kama anaenda kinyume na maadili ya diplomats, moja wapo ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika