Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Kama wastani wa mkusanyo ya TRA kwa mwezi ni trillion mbii hiyo ni zaidi ya makusanyo ya miaka miwili..
Lucas Mwashambwa
 
Marekani kuna maskini hiyo ndio ukweli ....North korea hata maisha ya huyo ulaya hawajui so hawana mda wa kubabaishwa na mtu ...Tunaweza kuamua tukaishi tunavyotaka kama unataka wazungu kaombe uraia wa huko .
Hata nchi ikiwa tajiri vipi maskini lazima wawepo...omba omba wapo duniani kote, ni vile huna exposure tu...wale hawajaitwa super power kwa bahati mbaya, msijifananishe na uwezo wenu unaoishia kukmata chadema na kuiba chaguzi. Aaheni kuomba na kupokea misaada kama mnataka kauli zenu ziheshimike
 
kwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?

au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒

au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Waulize wanuufaika wa dawa bure za ARV waulize wenye kupata dawa bure za ukoma na TB siku ukijaaliwa kupata mtoto jiulize chanjo analipwa nani.
Jiulize nani anaidhinisha mikopo ya IMF na World Bank na nani anachangia African Development Bank inyotukopesha kujenga rel na barabara.
Ukipata majibu kimbia haraka ukafanye uchunguzi wa afya ya akili.
 
unachozungumzia wewe ni kipi hasa gentleman?
Misaada,
Mikopo,
Chanjo,
TB,
ARVs
au barabara 🤣
 
Wewe ndio hauna exposure kwa vile mshamba ...Nchi ina sheria zake maana hujasoma kasome Tanzania foreiign policy ...Raisi hana wasiwsi ni wewe Mnge kimambi maana unapata hifahdi huko USA.

Ulaya ndio anaihitaji TZ na africa kwa ujumla ili wanatawale ...Wangebaki kwao unafirikia kuna cha bure basi leta sahani upakuliwe.
 
Huna akili,jiwe ujinga umemuua
 
We si uwaambie wasitishe , uliona wapi Hadzabe wakipatiwa chanjo? ...Ishi ni profix maximaization kwa hiyo watufundishe juu ya nn cha kufanya ? Kwa hiyo mabalozi wetu watoe statement juu ya watu kupigwa bastola kila siku huko marekani itakuwa ndio kilichowapeleka ?


Ngoja kupandikizwa chip uwe kama robot .
 
Mmezidi sana, hata vyoo mnajengewa
Ombaomba ikiingia kwenye damu haya ndio madhara
Unakuwa dhalili tu
Na kuomba imekuwa kama jadi inaanza kwa wananchi inaenda mpaka juu
Tujifunze kujitegemea tumegoma
Tunataka kutafuniwa zaidi ya miaka 60
 
Duh,sa mbona hatujui zimefanya nn hzo pesa?
 
kwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?

au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒

au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Acha ujinga basi
 
Msaada wao siyo gate-pass ya kutuchezesha kama joyce wowowo
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…