Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Pole sana mkuu, nadhani hukumaanisha ulichoandika.
 
Wajinga wakubwa nyie, maza nyenu kutugwa anazunguka Marekani kuomba misaada, huwa analazimishwa na mtu?
 
Beberu andamizi ni noma kwa kweli.

Sasa tungejua na Mchina kaweka ngapi hapa kwa mwali wao Tanzania
 
Kuna watu wengine wanaongea utumbo ata magufuli alikuwa anawakosea saana mabeberu.wakifunga misaada wananchii ndo siku zote wanaumia samia yeye atakula anachotaka ata kama hali ni mbaya kiasi gani.inawezekana ata mishahara wanalipa wao..
 
Jibu zuri sana kwa yule roporopo
 
Wanachotupiga sasa
 
So wahat? Kama wanajipendekeza kuleta msaada tuuache? Wagumishe waone kama tutawafata
 
Tuongeze juhudi CCM iondoke mapema iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…