JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.
Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa Tanzania ni Nchi isiyofungamana na upande wowote siyo ya kweli kiuhalisia bali Taifa hilo limefungamana na mataifa mengi.
Pia soma ~ Tanzania ijitoe katika Non Alignment Movement