Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

Ni Ukweli mchungu kwamba utawala wa Marekani unatufahamu vizuri zaidi sisi wa-Tanzania kuliko hata sisi wenyewe tunavyojifahamu, kuna Ukweli kuhusu suala hili, wao Wana intelligence yao Kali zaidi kuliko sisi au kuliko tawala zingine nyingi zilizopo hapa duniani. Marekani wamekuwa wakipata taarifa zetu zinazotuhusu sisi mapema zaidi kuliko sisi wenyewe.
Mathalani, Wana mtandao wao maalumu wa kupeana taarifa nyeti kabisa kwa raia wao wanaoishi nje ya mipaka ya nchi ya Marekani, mtandao huo unaitwa Smart Travelor. Ukijisajili kwenye mtandao huo unaweza ukapata taarifa nyeti Sana na nzito ambazo pengine hata utawala uliopo kwenye nchi husika hawawezi kuzipata. Mfano ulio hai kuhusu suala hili niliupata nikiwa katika Moja ya nchi fulani hivi(ambayo nisingependa kuitaja jina kwa Sasa), ambapo raia wao mmoja walintumia ujumbe kwenye simu yake kupitia kwenye mtandaa wao huo wakimtaarifu kuwa "Ajiandae kwa kuondoka haraka sana kutoka kwenye nchi hiyo, gari ya kumchukua kutoka katika Ofisi ndogo za Ubalozi wa nchi hiyo itawasili nyumbani kwake ndani masaa mawili yajayo, na awaandae wapendwa wake wote kabisa tayari kwa safari ya kuondoka ili kuokoa usalama wao."
Ajabu iliyotokea ni kwamba, Ndani ya maasaa 24 baada ya ujumbe huo, Serikali iliyokuwepo kwenye nchi hiyo ilipinduliwa na Wanajeshi, hali hiyo ilithibitisha kwamba utawala wa Marekani ilipata mapema zaidi kuhusu taarifa za kupinduliwa kwa Serikali iliyojuwepo kwenye nchi hiyo.
Yote hayo tisa.

...na haihusiani na alichokisema.
=======
Tanzania haikuwa imefungamana na Nchi yeyote ile. Ikiwa ina maana hatushobokei East ama West, ubepari ama Ukomonisti...na lengo lilikuwa ni moja

'To exercise a modicum of sovereign Initiatives" rather than being swept by the cold war, geopolitical pressure and Ideological mambo jambo, vile vile, Tulihofia(Nchi za NAM) kupigwa na Nyuklia ikiwa tungesema 'tupo na marekani' au 'tupo na urusi' tena walikuwa na lisaa lao la propaganda likionyesha bomu la nyuklia litafika dakika yeyote ile. Nani aliyataka Ujinga wao?

Ikumbukwe NAM iliasisiwa miaka ya sitini wakati wakitishiana nyau "Bay of pigs Fiasco'

.....aliyemdanganya kwamba Watanzania tunafikiri nchi yetu kutokufungamana na nchi yeyote, tafsiri yake kuwa hatuna Ushirikiano ni nani? Kwani uwepo wetu NAM haukuwa ushirikiano na Nchi zingine?

Labda CHADEMA waliodai "Sasa nchi imefunguliwa"

Ilifungwa wapi?(rejea alichosema balozi)

Ameokota wapi huo Ujinga?
 
Wenzio ndani ya chama hawajui nini maana ya kufungamana na mashirikiano ni wengi na ni wajinga kuliko wewe. kitendo cha kusign treaties of agreements ina maana kuna kashirikiano kwenye baadhi ya mambo hasa ya kisera. Kwamba sera zenu zinafungamana au zinashabihiana kwa maana hiyo kuna mambo mnajadiliana kwa pamoja au kupokea maoni yao. Tatizo la wajinga wengu wakipewa ushauri hutumia nguvu kuzima hoja.
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.

Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa Tanzania ni Nchi isiyofungamana na upande wowote siyo ya kweli kiuhalisia bali Taifa hilo limefungamana na mataifa mengi.

Pia soma ~ Tanzania ijitoe katika Non Alignment Movement

Mungu Wabariki Wazungu
 
Napendaga Wamarekani wanapopata ujasiri wa kutoa hoja kama hizi kuhusu Tanzania ambazo mashuleni tunaaminishwa na kukaririshwa. Hauwezi kusikia hoja hizi kutoka kwa Watanzania wenzetu, hata wasomi. Labda Lissu tu ndiyo huwa ana upeo na ujasiri huo.

Kuna mwaka fulani balozi wa Marekani aliwahi kuhoji, kama nakumbuka vizuri akasema, si kweli tunapojisifu kuwa Tanzania kama taifa haijawahi kumwaga damu. Ilikuwa ni hoja nzito kweli kweli. Nakumbuka Serikali ilituma malalamiko yake kuwa amekiuka kanuni na misingi ya diplomasia. Kwa anayekumbuka hili anikumbushe jina la huyo Balozi na alichosema maana naweza kuwa off kidogo.
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.

Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa Tanzania ni Nchi isiyofungamana na upande wowote siyo ya kweli kiuhalisia bali Taifa hilo limefungamana na mataifa mengi.

Pia soma ~ Tanzania ijitoe katika Non Alignment Movement

Tanzania ni nchi huru halisi haiendeshwi kwa dhana, haichaguliwi rafiki wala haielekezwi nchi ya kushirikiana nayo full stop.

Tanzania ina malengo na mipango yake, Lakini pia inazo mbinu namna halisi ya kuyafikia malengo yake. Siyo dhana.

Balozi aachene na masuala ya dhana, ambayo ni sawa na ushirikina na ramli chonganishi tu, hayo ni mambo ya kijima 🐒
 
Napendaga Wamarekani wanapopata ujasiri wa kutoa hoja kama hizi kuhusu Tanzania ambazo mashuleni tunaaminishwa na kukaririshwa.

Kuna mwaka fulani balozi wa Marekani aliwahi kuhoji, kama nakumbuka vizuri akasema, si kweli tunapojisifu kuwa Tanzania kama taifa haijawahi kumwaga damu. Ilikuwa ni hoja nzito kweli kweli. Nakumbuka Serikali ilituma malalamiko yake kuwa amekiuka kanuni na misingi ya diplomasia. Kwa anayekumbuka hili anikumbushe jina la huyo Balozi na alichosema maana naweza kuwa off kidogo.
Unaonekana una mapenzi makubwa ma Marekani🤣🤣🤣
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.

Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa Tanzania ni Nchi isiyofungamana na upande wowote siyo ya kweli kiuhalisia bali Taifa hilo limefungamana na mataifa mengi.

Pia soma ~ Tanzania ijitoe katika Non Alignment Movement

Mdogo mdogo tunabanwa vifuko vya mbegu....

LeLe huanzaga kama utani
 
Tanzania ni nchi huru halisi haiendeshwi kwa dhana, haichaguliwi rafiki wala haielekezwi nchi ya kushirikiana nayo full stop.

Tanzania ina malengo na mipango yake, Lakini pia inazo mbinu namna halisi ya kuyafikia malengo yake. Siyo dhana.

Balozi aachene na masuala ya dhana, ambayo ni sawa na ushirikina na ramli chonganishi tu, hayo ni mambo ya kijima 🐒
Wanadhani kuwa wadau wa maendeleo wana haki ya kutoa maelekezo ni namna gani nchi ijiendeshe.
 
Back
Top Bottom