JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ungetulia na kutumia akili yako kidogo usinge bwabwaja kama mtu anatoka usingizini!Kwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Tangu zamani, utawala wa Tanzania umefungamana na tawala za nchini China, Urusi (USSR), Cuba, na Korea ya Kaskazini. Hii ni kuanzia tangu utawala wa awamu ya kwanza ya Mwl. Nyerere, hao ndio walikuwa marafiki zake.
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.
Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa Tanzania ni Nchi isiyofungamana na upande wowote siyo ya kweli kiuhalisia bali Taifa hilo limefungamana na mataifa mengi.
Pia soma ~ Tanzania ijitoe katika Non Alignment Movement
Hivi kakosea ni Balozi?Yeye ametoa maoni yenye ukweli asilimia 100 kwa hiyo na wewe tupe ukweli unaopingana na hoja yake ili tukuelewe.Kwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Kweli kabisaUngetulia na kutumia akili yako kidogo usinge bwabwaja kama mtu anatoka usingizini!
Huyo ni chizi.Ungetumia akili kidogo aliyokujalia Mwenyezi Mungu ungeona aibu lakini ndiyo hivyo tena umekwisha kuwa chizi!
Nimemsoma huyo shangazi akili zake zinawaza vibati tu.Ungetulia na kutumia akili yako kidogo usinge bwabwaja kama mtu anatoka usingizini!
Ungetumia akili kidogo aliyokujalia Mwenyezi Mungu ungeona aibu lakini ndiyo hivyo tena umekwisha kuwa chizi!
Ungekuwa mwanaume , usingekuwa una nong'ona hivyo kwa kubana pua.Nimemsoma huyo shangazi akili zake zinawaza vibati tu.
Ana maanisha kauli kama hiyo haipo Duniani.Kwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Ni Ukweli mchungu kwamba utawala wa Marekani unatufahamu vizuri zaidi sisi wa-Tanzania kuliko hata sisi wenyewe tunavyojifahamu, kuna Ukweli kuhusu suala hili, wao Wana intelligence yao Kali zaidi kuliko sisi au kuliko tawala zingine nyingi zilizopo hapa duniani. Marekani wamekuwa wakipata taarifa zetu zinazotuhusu sisi mapema zaidi kuliko sisi wenyewe.Kwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Umeishia darasa la ngapi mwezentuKwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
naionea huruma hiyo shingo yako kwa kubeba tenga tupuKwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Wao ukikosoa tu ccm au viongozi basi kwao ni kosa la jinai.Asante sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri.Kimsingi unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mweupe katika maswala mbalimbali yahusuyo nchi, uendeshaji wa serikali na mahusiano ya kimataifa. Nji zote duniani zinaendeshwa katika muktadha wa uhusiano wa kimataifa nda ndio mana kuna diplomats au mabalozi wanaowakilisha nchi husika katika nchi nyingine. Hakuna taifa lolote duniani linalojiandesha in isolation (kujitenga)
Mara kadhaa umeona viongozi wako wakisaini hati na mikataba ya makubaliano baina ya nchi na nchi ili kuwa na mashirikiano katika nyanja mbali mbali iwe kiuchumi, ulinzi kama juzi mchina alivyotupa vifaa vya ulinzi, siasa na mambo mengine. Balozi anaposema kwamba sio kweli Tanzania haijafungamana huo ni ukweli mnaoambiwa wapiga zumatri ambao hamna elimu ya siasa bali ushabiki uliopitiliza
Unajiabisha mkuuNi nani aliyekudanganya una Akili wewe?
Aaaa, Ndio usha nnya tena.?
Chizi ni yule aliyekusukuma fuvu lako kutoka kwenye tundu.
Akili yako ndio haina akili.🔔🔔 we🤡
Server za Jamiiforums zipo Marekani.Kwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Walamba viatu watampigia makofi hii nchi nijifinze kimarekani tuu nijiite mc frickon lugard nitaishi kama PeponiKwahiyo yeye Balozi ndie anayejua Tanzania, kuwashinda Watanzania?
Huu ujinga huwezi sikia nchi zingine. Balozi kuingilia siasa za ndani na hususani karibia na Uchaguzi.
Eti kwa sababu za Billioni za bure walizotoa.
Itoshe Kule kwao wanalalamikia Wachina, Wahaiti, na wengine kwamba wanaingilia Chaguzi zao na maisha yao. Malalamiko mengi kuhusu wengine wote Kasoro wao wenyewe.
Na hawa waandishi wetu nao.
Nimeandika sana kweye machapisho mengi sana nimeandika kwamba ogopa nchi ikiwa na wajinga wengi wanaweza kuchagua Rais. CCM inawapumbaza sana vijana kwa kuwanyima mafunzo halisi ya chama kwa maana ya katiba ya chama, ilani ya chama na kanuni za chama. Pili chama hakiwapi mafunzo juu ya katiba ya nchi na sera za idara mbali mbali za serikali pamoja na wizara. Sababu kuu ya kuwanyima hayo ni pamoja na kulinda nafasi zao za uongozi na kuwa na kundi kubwa la wajinga wanaosifia kila jambo linalozungumzwa na wanaouamini kuwa ni viongozi wao. Ndio maana mara kadhaa wajinga miongoni mwao wanatoa kauli zenye utata na kuwaweka njia panda wasifiaji ambao hawajui wasifie au wakemee au wakae kimya. Anapotokea kiongozi kuchukua mrengo mmojawapo na wao huenda huko kama nyumbu wanaoswagwa.Wao ukikosoa tu ccm au viongozi basi kwao ni kosa la jinai.Asante sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri.