Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika:

"Train from Dar to Dodoma. I have taken trains on four continents and am proud to say that Tanzania provides an exceptional train experience. The train left the station precisely on time, the ride was comfortable and the hospitality and professionalism of the staff was superb."

mb.png
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh Michael amemsifu Shujaa Magufuli Kwa kutuachia Reli Bora Kabisa ya SGR duniani

Aidha Balozi Michael amemsifu Rais Samia Kwa manunuzi ya Treni zinazofanya Mtu awe na Raha kuanzia Mwanzo hadi Mwisho wa safari

Michael amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Uchaguzi mkuu 2025 CCM tuna Kazi rahisi sana [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh Michael amemsifu Shujaa Magufuli Kwa kutuachia Reli Bora Kabisa ya SGR duniani

Aidha Balozi Michael amemsifu Rais Samia Kwa manunuzi ya Treni zinazofanya Mtu awe na Raha kuanzia Mwanzo hadi Mwisho wa safari

Michael amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Uchaguzi mkuu 2025 CCM tuna Kazi rahisi sana 😂😂
Punguzen chumbi jmn mweeeeh 😂😂😂
 
Umeshaanza ule upuuzi wako wa kupindua maneno. Wapi amemtaja fascist Magufuli?
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh Michael amemsifu Shujaa Magufuli Kwa kutuachia Reli Bora Kabisa ya SGR duniani

Aidha Balozi Michael amemsifu Rais Samia Kwa manunuzi ya Treni zinazofanya Mtu awe na Raha kuanzia Mwanzo hadi Mwisho wa safari

Michael amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Uchaguzi mkuu 2025 CCM tuna Kazi rahisi sana 😂😂
Kama hajabubujikwa na machozi huyo atakuwa amepanda dudu jingine kabisa siyo sgr
CC Lucas Mwashambwa
 
ndio mjue tulikuwa mbele ya muda, dunia haijawahi kuona 100% black country with 100% black people ndani ya fast electric train, ndo maana wakatuchezea rafu dadadeki, lkn tutaibuka tena kama phoenix inshaalah, spirit bado ipo …
 
Mxiuuuuu! Huyo balozi ni mnafiki. Anataka kusema SGR ya Tanzania inazidi zile za Ethiopia, Egypt, Spain, China, South Korea, Italia, UK, US na kwingineko?

Anatafuta kitalu cha wanyama huyu. Na kwa sifa hizi tayari kishapewa mbuga ya Serengeti.
 
Back
Top Bottom