Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
My honorable yours 😎😎😎
 
Atakuwa amekerwa na tabia yake ya kugalagala kwenye tope kama chura.
 
Nchi ya hovyo sana hii! Unamteua mwalimu kuwa waziri wa afya? Tuko siriazi kweli? Anajua hata x-ray Iko je!
 
Kwa kile kiingereza alichoongea siku ile ya Ndugulile, nahisi huyo balozi amebaki anaduwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…