Balozi wa Marekani nchini Israel alaani vikali UGAIDI wanaofanyiwa wapalestina huko West Bank.

Balozi wa Marekani nchini Israel alaani vikali UGAIDI wanaofanyiwa wapalestina huko West Bank.

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
24,661
Reaction score
40,890
Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, amewalaani walowezi wanaowashikilia familia tatu katika kijiji cha Qusra kinachokaliwa kwa mabavu, karibu na Nablus, kama "magaidi wa Israeli".

Kuzingirwa huku kunakuja huku jeshi la Israel likifanya uvamizi huko Jenin, na kuzuia upatikanaji wa misaada kwa Wapalestina katika kambi ya wakimbizi siku ya nne ya shambulio lake.

Huckabee, mshirika mkuu wa Israeli ambaye huko nyuma aliunga mkono makazi ya Waisraeli huko West Bank (licha ya kuwa kinyume cha sheria chini ya sheria za kimataifa) alitoa maoni hayo ya ukosoaji usio wa kawaida Alhamisi, wakati walowezi wa Israeli walipozingira nyumba tatu za Wapalestina katika kijiji cha Qusra, ikiwemo moja ya raia wawili wa Marekani.

"Vitendo vya wale waliotekeleza kitendo hiki cha kutisha cha ugaidi kilichokusudiwa kuwatisha na kuwanyanyasa familia hii ni vya kuchukiza,” Huckabee aliandika katika chapisho kwenye X. “Hakuna udhuru wa tabia kama hiyo ya kinyama.”

Maafisa wa Marekani kwa muda mrefu wamelaani vurugu za wavamizi wa Kiyahudi dhidi ya Wapalestina huko West Bank, unaokaliwa kwa mabavu kwa ujumla lakini ni mara ya kwanza wanaita vitendo vya walowezi wa Israeli kuwa "UGAIDI" au kuviita "MAGAIDI".

Na balozi aliendelea kusema kwamba ubalozi wa Marekani utahusika katika kuwaondoa MAGAIDI hao huko West Bank
Source: NBC News, tafsiri kwa msaada wa google translator.

INTERACTIVE-West-Bank-Continued-settler-attacks-JULY-27-2026-1785159009-1786422021.jpeg

Note: Kwa muda mrefu tumekua tukisema kile wanachofanya Israel huko west bank na Gaza ni ugaidi lakini tulipingwa sana humu hatimaye leo wafadhili wa Israel wamekiri matendo yale ni ugaidi. Je mna maoni gani juu ya mabadiliko haya ya mtazamo wa Marekani kwa Israel kutoka Kuwaita wamiliki halali hadi kuwaita magaidi?

Ikumbukwe zaidi ya wavamizi 700,000 wa Israel wanaishi kinyume cha sheria ndani ya West Bank ambalo ni eneo halali la wapalestina. Ikumbukwe West Bank hakuna Hamas wala kikundi chochote cha kigaidi na mara zote wamekuwa watulivu ila wanauwawa kila siku na kuporwa maeneo ikithibitisha kuwa Israel ina mpango wa kuwateketeza wapalestina bila kujali na Hamas hutumika kama kisingizio tu.
 
Hakuna kitu kinaitwa West Bank hiyo ni yudea na Samaria

hayo ni maeneo halali ya waisrael ,

Israel ilijiondoa yudea na Samaria kutoka shinikizo la nchi dhaifu za ulaya (liberals)

hao magaidi wa wapalestina warud kwao misri na Jordan
 
Halafu waarabu wa gulf wanakuambia Iran ni makafiri na hawawajali Wapalestina, hili suala la Israel waarabu wangelikuwa na umoja Wapalestina wasingenyanyasika hivyo.. anaye watetea ni Iran ambapo masheikh ubwabwa Tanzania wanakuambia Iran makafiri..

Israel wakitoka hapo wanaenda kushirikiana na Qatar, Saudia na nchi za kiarabu za gulf kuishambulia Iran.. ndipo utajua waarabu wa gulf ni mbwa koko na wana funza vichwani.. kwa Tanzania kuna hawa masheikh vinyesi watakuambia washia ni makafiri...
 
Hata kipofu anajua Iran ni nchi la magaidi

kila siku linanyonga raia wake km kuku

Nchi inayonyonga raia wake kwasabab za kisiasa na kidini haiwezi kusimama

ni suala la muda tu yule Ayatollah kilema yatamkuta km gaidi asad
 
Iran ananyonga mapandikizi na majasusi wanaotumika na nchi za magharibi ili iwe mfano kwa wengine, ndio maaana US na Israel wameshindwa kuangusha dola..

Saudia wanachinja watu unaelewa hilo?
 
Iran ananyonga mapandikizi na majasusi wanaotumika na nchi za magharibi ili iwe mfano kwa wengine, ndio maaana US na Israel wameshindwa kuangusha dola..

Saudia wanachinja watu unaelewa hilo?
Tehran will fail now or soon

you'll soon kiss yo' ass
 
Iran ananyonga mapandikizi na majasusi wanaotumika na nchi za magharibi ili iwe mfano kwa wengine, ndio maaana US na Israel wameshindwa kuangusha dola..

Saudia wanachinja watu unaelewa hilo?
Toka ianze kunyonga miaka ya zamani uko
imefanikiwa kwenye Nini?

Ayatollah babu ametumia miaka 80 dunia kuiota Israel

guess what happened 🤣🤣🤣

I hope huyu Ayatollah Chiba won't count his sixty floor 😆😆
 
Ni kawaida kukishakua na misingi ya ubaguzi hua inaoperate hivo, mwanzoni ilianza na wasio wa dini hiyo mwisho imekuja makundi yaliyo ndani ya dini.
Cha ajabu ni kwamba hao waarabu wajinga wa gulf wanasema Iran inajali maslahi yake binafsi na haiwqjali Wapalestine, wanasema wao ndio wana mapenzi ya kweli na Palestine, halafu hao waarabu wanashirikiana kuilinda Israel kwa kutungua makombora ya Iran yanayoelekea Israel... Hao waarabu mataahira wanashirikiana na mtesi wa Wapalestina kuishambulia Iran...

Halafu kuna wamatumbi nao wanajikuta ni Wasaudia wanakuambia Iran ni makafiri... uwezo mdogo wa kufikiri na ukosefu wa elimu ni tatizo.. Israel imewagawa pasipo wao kuelewa..
 
Toka ianze kunyonga miaka ya zamani uko
imefanikiwa kwenye Nini?

Ayatollah babu ametumia miaka 80 dunia kuiota Israel

guess what happened 🤣🤣🤣

I hope huyu Ayatollah Chiba won't count sixty floor 😆😆
Msaliti adhabu yake kifo, kwa sheria za kijeshi traitor adhabu yake ni death penalty, hio ni kwa nchi nyingi tu...

Nchi inapokuwa kwenye crisis halafu anatokea msaliti miongoni mwenu anafanya usaliti na kushirikiana na adui kuwadidimiza unataka apewe adhabu gani? Unataka aongezwe?
 
Kila ijumaa magaidi ya kiislam yananyonga watu Tehran

Sasa km kila mtu anakusaliti maana yake serkali yako haijatokana na ridha ya wananchi

wanaua kulinda kikundi Chao kisiangushwe ( kikundi Cha Ayatollah)
hakuna sababu nyingne

Kila nchi duniani ina double agent

june Israel ilimkamata raia wake mwenye uraia pacha na USA akiichunguza Israel kwa ajili ya Iran

hawakumuua
walimpeleka mahakamani na kesi inaendelea

kwann Iran isalitiwe na maelfu ya wananchi? Kuna nn nyuma ya pazia
 
Hakuna kitu kinaitwa West Bank hiyo ni yudea na Samaria

hayo ni maeneo halali ya waisrael ,

Israel ilijiondoa yudea na Samaria kutoka shinikizo la nchi dhaifu za ulaya (liberals)

hao magaidi wa wapalestina warud kwao misri na Jordan
Maeneo ya waisrael kwa mujibu wa nani? Dunia nzima inatambua West bank sio sehemu ya Israel na ndio maana inaitwa occupied West bank.

Hao Israel wenyewe hata kihistoria walitokea Iraq ya leo kwanini usiwashauri Warudi kwao Iraq wanapambania hapo palestina?

Anyway Marekani imewatambua hao wavamizi kama magaidi, so unaruhusiwa kulia ila ukweli sasa upo wazi kuwa kinachofanyika hapo ni ugaidi.
 
Back
Top Bottom