Balozi wa Marekani nchini Israel alaani vikali UGAIDI wanaofanyiwa wapalestina huko West Bank.

Kila ijumaa magaidi ya kiislam yananyonga watu Tehran

Sasa km kila mtu anakusaliti maana yake serkali yako haijatokana na ridha ya wananchi

wanaua kulinda kikundi Chao kisiangushwe ( kikundi Cha Ayatollah)
hakuna sababu nyingne

Kila nchi duniani ina double agent

june Israel ilimkamata raia wake mwenye uraia pacha na USA akiichunguza Israel kwa ajili ya Iran

hawakumuua
walimpeleka mahakamani na kesi inaendelea

kwann Iran isalitiwe na maelfu ya wananchi? Kuna nn nyuma ya pazia
Hao wananchi wanalipwa pesa nyingi na Israel na US..

Iran imekaa imetulia inafanya maisha yake wanaokesha wakiiwaza Iran ni Israel ndio maana wanaua sana wanasayansi wao, wamefanya huo ugaidi kwa muda mrefu na walipokuja kuvuka mstari ni pale waliposhambulia ubalozi wa Iran nchini Syria.. ndipo Iran ikarusha makombora na drones kama 300...

Hadi Iran inafanya hayo Israel na US walishamuua Qasem Soleimani na wanasayansi watano wakubwa wa sayansi ya nuclear..

Israel walimuua Mohsen Fakhrizaden 2020 kwa kutumia remote controlled machine gun..

Ugaidi wa Israel ukashindwa kuvumilika ndipo 13 April 2024 usiku Iran ikafanya true promise one, ambapo Israel iliogopa kujibu.. wakisubiri msaada wa US...

Iran ilivumilia uchokozi na ugaidi wa Israel kwa kipindi kirefu hadi wazayuni kutoka Mbagala wakaanza kusema Iran inaiogopa Israel.. lakini siku walipopigwa ballistic akili ziliwakaa sawa...
 
Naamini wewe ni moderate moslim huna itikadi za ugaidi

lkn ukianza kuandika uwongo tayar inakuwa extreme moslim

Israel ilizuiwa na Rais dhaifu Biden (liberals) kujibu mashimbulizi ya iran

kitu usichokijua Israel amekuwa akiishambulia Iran toka enzi za Obama lkn Washington imekuwa ikizuia
lengo la kuzuia ni kutoharibu soko la mafuta duniani

usichokijua ni kuwa Iran anaona Bora wapigane na USA kuliko Israel

USA anapiga kwa huruma huruma😁

israel yeye husawazisha🤣🤣
 
Kwahiyo USA na Israel imehonga wananchi Zaid ya laki moja🤣🤣🤣

utawala wa Ayatollah umejengwa juu ya damu za watu.

maelfu wamenyongwa wamepotea

ni swala la muda iki kikundi Cha kigaidi kibachoongozwa na Ayatollah kumfuata Asad mafchon urus
 
Naamini wewe ni moderate moslim huna itikadi za ugaidi

lkn ukianza kuandika uwongo tayar inakuwa extreme moslim

Israel ilizuiwa na Rais dhaifu Biden (liberals) kujibu mashimbulizi ya iran

kitu usichokijua Israel amekuwa akiishambulia Iran toka enzi za Obama lkn Washington imekuwa ikizuia
lengo la kuzuia ni kutoharibu soko la mafuta duniani

usichokijua ni kuwa Iran anaona Bora wapigane na USA kuliko Israel

USA anapiga kwa huruma huruma😁

israel yeye husawazisha🤣🤣
Yaani Israel inayopewa misaada ya fedha na silaha kutoka US ndipo waitishe Iran..

Israel iliona nafasi ya wazi kuiangusha Iran baada ya mashambulizi ya pamoja na US, Israel walijitahidi kufanya mashambulizi ya nguvu zaidi, walitumia uwezo wao wote wa jeshi la anga la Israel... lakini hawakufanikiwa.. wamelenga sana michoro ya ndege zilizochorwa ardhini.. wamelenga sana decoys za launcher... kama ulisikia US wanasema wamepiga sana launchers za Iran ndio huo wakati Iran anaweka mabati yapo kama launchers.. lengo ni kumaliza missiles za US na Israel na walifanikiwa , maana US silaha zilipungua vibaya sana...

Iran ikatumia drones na decoys za ballistic missiles kumaliza interceptors na hapo wakafanikiwa.. mwanzoni mwa vita Iran ilihitaji kurusha drone na missiles nyingi ili kuzichanganya air defenses... ila baada ya interceptors kupungua... hivi sasa wanarusha hata missiles tatu na zinapiga target...

Elewa kwamba Israel anaitegemea US katika silaha, mara baada ya silaha za US kupungua ndipo US wakaona kuitisha ceasefire...

ELewa kwamba umbali kati ya Israel na Iran ni zaidi ya 1000 miles, kufanya mashambulizi ya mfululizo nchini Iran inapaswa kuwepo kwa ujazaji wa mafuta wa angani mfululizo na endelevu..

Israel anategemea sana ndege za kimarekani ambazo ni tankers kwa ajili ya air refueling, ndege za Israel aina ya boeing 707 ambazo ndizo huzitumia kama tanker ni chache na zimezeeka...

Kwenda kuishambulia Iran Israel inapaswa kuruka juu ya anga za nchi za gulf kama Jordan, saudia n.k ambapo US ana diplomatic leverage na hizo nchi kitu kinachokuwa rahisi kwa Israel kupitia humo na kutumia hio fursa maana pekee kwa mashambulizi mfululizo si rahisi sana...

Israel kwenye vita ya muda mrefu interceptors zake zinaisha haraka hata hii vita wamepungukiwa interxeptors kwa kiasi kikubwa, huitegemea US kuwasaidia financially na uzalishaji wa hizo interceptors za arrow 2, arrow 3 na david sling...

Kuna mashambulizi ya bunker ambapo inahitajika bomu kama GBU 57 ambalo linaweza kubebwa pekee na B 2, Israel hawana B-2 wanategemea US, hata nuclear sites hapo majuzi zilishambuliwa na B-2 , Israel hawana uwezo huo...

Israel pia ilikuwa inategemea mifumo ya early warning ya kimarekani iliyokuwepo gulf, ina maana US anamsaidia Israel intel, ndio maana Iran amelenga sana radar za jeshi la US hapo middle east...

Israel anachoweza ni kufanya covert ops ndani ya Iran..

Kufanya mauaji , kufanya mashambulizi ya kigaidi ndani ya Iran na kufanya precision striking ndani ya Iran kwa kiasi...

Lakini total war na Iran Israel haitoweza na haiwezi pasipo US.. na hata US ikiwepo itasaidia kupunguza mashambulizi kwa Israel...

Trump alisema mwenye 12 days war

"Israel got hit very hard, especially the last couple of days. Israel was hit really hard. Those ballistic missiles, boy, they took out a lot of buildings"
 
We kenge unaisimulia Israel mnayosimuliwa madrasa 🤣

Ukisikia uhusiano wa USA na Israel usijefananisha na uhusiano wa nchi nyingne

unaona watengenezaji wa Hilo B-2

teknolojia ya myahudi ndani ya USA ndio inatomfanya USA atambe

we unafkir Benjamin Netanyahu anavokatalia Trump Mambo kibao anakurupuka tu?
 
Attachments

  • Screenshot_20260816-211634_1.jpg
    Screenshot_20260816-211634_1.jpg
    713.7 KB · Views: 12
We kenge unaisimulia Israel mnayosimuliwa madrasa 🤣

Ukisikia uhusiano wa USA na Israel usijefananisha na uhusiano wa nchi nyingne

unaona watengenezaji wa Hilo B-2

teknolojia ya myahudi ndani ya USA ndio inatomfanya USA atambe

we unafkir Benjamin Netanyahu anavokatalia Trump Mambo kibao anakurupuka tu?
US anashinda world war 2 , Israel haikuwepo.. technology yote ilikuwa ya US.

Halafu huo ujinga wa kusema B-2 spirit ni tech ya Israel unatolea wapi?

Hivi unaelewa makampuni yaliyoshirikiana uundaji wa hio ndege? Northrop Grumman ndiye alisaidizana na Boeing, General Electeic na Hughes radar systems...

Ni project ya siri ambayo ilianza 1970s.. ni program waliita advanced technology bomber...

Kuhusu Netanyahu kuwa na uwezo wa kumshawishi Trump si kwamba technology ni ya Israel, bali US kuna wanasiasa ambao ni pro-Israel lobby , hao ndio waanzilishi wa AIPAC, hao huwa wana pambana kyfanya sera za kigeni za US kui favor zaidi Israel...

Hao pro Israel ni matajiri , wengi wao ni wayahudi..
Wana makundi mbalimbali, na wanahonga wanasiasa wengi pesa za kuendesha kampeni ili tu wanaposhinda uchaguzi watetee maslahi ya Israel... kuisifu na kuiabudu Israel..

Na wqnatumia fedha kukandamiza wale wagombea ambao huwapinga na agenda zao za pro Israel...

Hao watu wanatengeneza uhusiano wa karibu na senetors kwa lengo la kuwajulisha na kuwa support kwenye siasa za mashariki ya kati..

Hao washenzi wana organizations mbali mbali ndani ya US achilia AIPAC, kuna J Street hao ni pro Israel kwenye masuala ya advocacy, kuna CUFI n.k

Hao AIPAC ndio organization kubwa, hao ndio huisukuma serikali ya US iwape msaada Israel wa kifedha kwa ajili ya masuala ya kiulinzi na usalama na kuendeleza projects za kutengeneza mifumo na interceptors za iron dome, arrow na david sling...

Hao jamaa hata kampeni za Trump walimpambania , ndio maana ukishakaa kwenye kiti ni lazima urudishe fadhila, maana wamekaa kimkakati..

Wanaonyesha kukupambania kwa kukupa msaada wa fedha kwenye kampeni zako, mawazo na hata watakusaidia kufanya fitina ili mpinzani wako ashindwe, lakini ukishashinda lazima urudishe fadhila...

Hilo jambo sasa wamarekani wanalikataa na wananchi wengi wanasema AIPAC haina maslahi yeyote kwa Wamarekani, hilo limepelekea Netanyahu mwenyewe akasema Israel miaka michache ijayo inajitoa kwenye kutegemea misaada ya US...

Wananchi wamechukizwa na mauaji yaliyofanyoka Gaza, na hata US watu waliandamana .. hata wagombea nafasi mbalimbali hivi sasa wanaanza kukataa fedha za hao pro Israel...

Nadhani sasa umepata elimu..
Maana wengi wenu hamfahamu chochote zaidi ya mahaba kwa Israel..

Kwamba Trump anafuata maelekezo ya Netanyahu kwa sababu B-2 ina tumia tech ya Israel..🤣🤣🤣
 
Iran ananyonga mapandikizi na majasusi wanaotumika na nchi za magharibi ili iwe mfano kwa wengine, ndio maaana US na Israel wameshindwa kuangusha dola..

Saudia wanachinja watu unaelewa hilo?
Hata kule Malawi lugha ni ile ile

Wanatumwa na Mabeberu
 
Halafu waarabu wa gulf wanakuambia Iran ni makafiri na hawawajali Wapalestina, hili suala la Israel waarabu wangelikuwa na umoja Wapalestina wasingenyanyasika hivyo.. anaye watetea ni Iran ambapo masheikh ubwabwa Tanzania wanakuambia Iran makafiri..

Israel wakitoka hapo wanaenda kushirikiana na Qatar, Saudia na nchi za kiarabu za gulf kuishambulia Iran.. ndipo utajua waarabu wa gulf ni mbwa koko na wana funza vichwani.. kwa Tanzania kuna hawa masheikh vinyesi watakuambia washia ni makafiri...
Mashia ni Waislam wa mwendo kasi Sheikh,we elewa hivyo
 
US anashinda world war 2 , Israel haikuwepo.. technology yote ilikuwa ya US.

Halafu huo ujinga wa kusema B-2 spirit ni tech ya Israel unatolea wapi?

Hivi unaelewa makampuni yaliyoshirikiana uundaji wa hio ndege? Northrop Grumman ndiye alisaidizana na Boeing, General Electeic na Hughes radar systems...

Ni project ya siri ambayo ilianza 1970s.. ni program waliita advanced technology bomber...

Kuhusu Netanyahu kuwa na uwezo wa kumshawishi Trump si kwamba technology ni ya Israel, bali US kuna wanasiasa ambao ni pro-Israel lobby , hao ndio waanzilishi wa AIPAC, hao huwa wana pambana kyfanya sera za kigeni za US kui favor zaidi Israel...

Hao pro Israel ni matajiri , wengi wao ni wayahudi..
Wana makundi mbalimbali, na wanahonga wanasiasa wengi pesa za kuendesha kampeni ili tu wanaposhinda uchaguzi watetee maslahi ya Israel... kuisifu na kuiabudu Israel..

Na wqnatumia fedha kukandamiza wale wagombea ambao huwapinga na agenda zao za pro Israel...

Hao watu wanatengeneza uhusiano wa karibu na senetors kwa lengo la kuwajulisha na kuwa support kwenye siasa za mashariki ya kati..

Hao washenzi wana organizations mbali mbali ndani ya US achilia AIPAC, kuna J Street hao ni pro Israel kwenye masuala ya advocacy, kuna CUFI n.k

Hao AIPAC ndio organization kubwa, hao ndio huisukuma serikali ya US iwape msaada Israel wa kifedha kwa ajili ya masuala ya kiulinzi na usalama na kuendeleza projects za kutengeneza mifumo na interceptors za iron dome, arrow na david sling...

Hao jamaa hata kampeni za Trump walimpambania , ndio maana ukishakaa kwenye kiti ni lazima urudishe fadhila, maana wamekaa kimkakati..

Wanaonyesha kukupambania kwa kukupa msaada wa fedha kwenye kampeni zako, mawazo na hata watakusaidia kufanya fitina ili mpinzani wako ashindwe, lakini ukishashinda lazima urudishe fadhila...

Hilo jambo sasa wamarekani wanalikataa na wananchi wengi wanasema AIPAC haina maslahi yeyote kwa Wamarekani, hilo limepelekea Netanyahu mwenyewe akasema Israel miaka michache ijayo inajitoa kwenye kutegemea misaada ya US...

Wananchi wamechukizwa na mauaji yaliyofanyoka Gaza, na hata US watu waliandamana .. hata wagombea nafasi mbalimbali hivi sasa wanaanza kukataa fedha za hao pro Israel...

Nadhani sasa umepata elimu..
Maana wengi wenu hamfahamu chochote zaidi ya mahaba kwa Israel..

Kwamba Trump anafuata maelekezo ya Netanyahu kwa sababu B-2 ina tumia tech ya Israel..🤣🤣🤣
Wayahudi waliingia USA kabla ya USA haija boom kuuchumi

wao ndio walileta mapinduzi ya teknolojia

Israel sio km unavyoifkiria mjomba asu😁

wana kila kitu
 
Hata kule Malawi lugha ni ile ile

Wanatumwa na Mabeberu
Tanzania ni uchu wa madaraka wa wapuuzi wachache...
Iran ipo kwenye vikwazo karibu miaka 50, lakini wana elimu bora, huduma za afya bora na hata usafiri ni nafuu sana imagine 5 star VIP train kutoka Tehran hadi Isfahan kama kilomita 400 nauli ni dola 16, kama 40k tshs.. hio ni VIP train na unapata chakula hapo hapo...

Hao huwezi kuja fananisha na hawa vibaka , na ndio maana wananchi wengi hawapo tayari kuipundua serikali ya Ayatollah..

Lita moja ya mafuta haifiki shilingi mia ya Tanzania.. utalinganisha na hawa vibaka wa hapa...

Ndio maana Iran wakisema kuna mapandikizi wanatumwa unaelewa.. hata kifo cha Ayatollah walijitokeza mamilioni kuombeleza...
 
US anashinda world war 2 , Israel haikuwepo.. technology yote ilikuwa ya US.

Halafu huo ujinga wa kusema B-2 spirit ni tech ya Israel unatolea wapi?

Hivi unaelewa makampuni yaliyoshirikiana uundaji wa hio ndege? Northrop Grumman ndiye alisaidizana na Boeing, General Electeic na Hughes radar systems...

Ni project ya siri ambayo ilianza 1970s.. ni program waliita advanced technology bomber...

Kuhusu Netanyahu kuwa na uwezo wa kumshawishi Trump si kwamba technology ni ya Israel, bali US kuna wanasiasa ambao ni pro-Israel lobby , hao ndio waanzilishi wa AIPAC, hao huwa wana pambana kyfanya sera za kigeni za US kui favor zaidi Israel...

Hao pro Israel ni matajiri , wengi wao ni wayahudi..
Wana makundi mbalimbali, na wanahonga wanasiasa wengi pesa za kuendesha kampeni ili tu wanaposhinda uchaguzi watetee maslahi ya Israel... kuisifu na kuiabudu Israel..

Na wqnatumia fedha kukandamiza wale wagombea ambao huwapinga na agenda zao za pro Israel...

Hao watu wanatengeneza uhusiano wa karibu na senetors kwa lengo la kuwajulisha na kuwa suppor t kwenye siasa za mashariki ya kati..

Hao washenzi wana organizations mbali mbali ndani ya US achilia AIPAC, kuna J Street hao ni pro Israel kwenye masuala ya advocacy, kuna CUFI n.k

Hao AIPAC ndio organization kubwa, hao ndio huisukuma serikali ya US iwape msaada Israel wa kifedha kwa ajili ya masuala ya kiulinzi na usalama na kuendeleza projects za kutengeneza mifumo na interceptors za iron dome, arrow na david sling...

Hao jamaa hata kampeni za Trump walimpambania , ndio maana ukishakaa kwenye kiti ni lazima urudishe fadhila, maana wamekaa kimkakati..

Wanaonyesha kukupambania kwa kukupa msaada wa fedha kwenye kampeni zako, mawazo na hata watakusaidia kufanya fitina ili mpinzani wako ashindwe, lakini ukishashinda lazima urudishe fadhila...

Hilo jambo sasa wamarekani wanalikataa na wananchi wengi wanasema AIPAC haina maslahi yeyote kwa Wamarekani, hilo limepelekea Netanyahu mwenyewe akasema Israel miaka michache ijayo inajitoa kwenye kutegemea misaada ya US...

Wananchi wamechukizwa na mauaji yaliyofanyoka Gaza, na hata US watu waliandamana .. hata wagombea nafasi mbalimbali hivi sasa wanaanza kukataa fedha za hao pro Israel...

Nadhani sasa umepata elimu..
Maana wengi wenu hamfahamu chochote zaidi ya mahaba kwa Israel..

Kwamba Trump anafuata maelekezo ya Netanyahu kwa sababu B-2 ina tumia tech ya Israel..🤣🤣🤣
Waliondamana USA kupinga mauaji ya gaza wengi wao n magaidi waarabu waliohamia USA

walikuwa wanaandamana kipindi Cha sleepy Biden alivoingia Trump walibana mavi kuogopa kurudishwa jangwani 😁

Israel na USA wanategemeana sio urafki wa upande mmoja

unajua Tel Aviv kujitegemea sio ajabu
usa ndio amekuwa akiizuia Israel kuwa na viwanda vikubwa vya silaha
 
Wayahudi waliingia USA kabla ya USA haija boom kuuchumi

wao ndio walileta mapinduzi ya teknolojia

Israel sio km unavyoifkiria mjomba asu😁

wana kila kitu
Wewe ni m@tako...
Sasa tunazungumzia uyahudi ama Israel..

Suala la uyahudi, si suala la Taifa la Israel, hivi kwanini mnakuwa wajinga hivyo...

Uyahudi ni dini kama uislamu na ukristo, uyahudi pia ni ethinic group, bila shaka unazungumzia ethnic group..

US haikuwa na wayahudi pekee ina kila aina ya makabila toka Asia , Africa, Europe , Australia, South America n.k..

KUna waafrika wengi sana wameijenga US unayoiona leo, wamefanya kazi kwenye mashamba ya kahawa, tumbaku, pamba n.k...

Kuna Asians wengi sana wameijenga US, kuna wazungu toka Europe wengi sana wameijenga US... how comes unasema wayahudi pekee ndio wameijenga US..?

Kuna watu ni wajinga duniani...
 
Waliondamana USA kupinga mauaji ya gaza wengi wao n magaidi waarabu waliohamia USA

walikuwa wanaandamana kipindi Cha sleepy Biden alivoingia Trump walibana mavi kuogopa kurudishwa jangwani 😁

Israel na USA wanategemeana sio urafki wa upande mmoja

unajua Tel Aviv kujitegemea sio ajabu
usa ndio amekuwa akiizuia Israel kuwa na viwanda vikubwa vya silaha
Walioandamana wazungu walikuwa wengi.. unaongea hata videos hukuona.. wananchi wengi tu race tofauti wanapinga ugaidi wa tapeli Netanyahu..

Hukusikia Trump kamuita Netanyahu ni tapeli...
 
Huyo balozi imekuwaje kachukua kazi ya mtoa taarifa wa wayahudi wa ukenyenge Echolima1
Nyau atamfukuza muda sio mrefu
Huyo balozi kwa akili zenu kiduchu mnafikiri atabadirisha chochote kuhusu Israel?

Trump mwrnyewe kashindwa aje leo hii balizi wa kuteuliwa abadirishe mambo?

Haiondoi ukweli kuwa nagaidi watapigwa popote walipo bila huruma yoyote ile!!
 
Westbank kuna gaidi yupi?
 
Back
Top Bottom