Balozi wa Marekani nchini Israel alaani vikali UGAIDI wanaofanyiwa wapalestina huko West Bank.

Kwa akili yako Mbovu utasema ni Quran!!!
Kwenye Bible Israel ilikuta makabila ya canaan yanaishi na kulikua tayari na ufalme kasome Mwanzo 13. Na kingine kama hoja ni bible hiyo ardhi alipewa Abraham ambaye alikua na warithi wengi sana na aliwapa maeneo kabisa sasa kivipi Israel ijimilikishe yenyewe ahadi ya Abraham kama Abraham?

Na ukiangalia mipaka ya "taifa teule" kibiblia mbona Israel hawafati? Unajua hata Saudi Arabia ni taifa teule kwenye biblia je kwanini Israel wasihamie huko kama wanafuata biblia kudai ardhi?

Yaani kwanini wajiamulie ni palestina na sio waende Syria au Iraq wakati zote zipo ndani ya taifa teule?
 
Hawa walowezi wa kiyahudi wanafadhiliwa na fedha kutoka Marekani,UK, Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya magharibi ambao pia hununa hizo nyumba zilizojengwa baada ya uporaji wa ardhi ya Palestine.

Marekani ingekuwa kweli imeumia ingezuia raia wao kununua nyumba huko west bank pamoja na kuwawekea vikwazo makampuni na watu binafsi wanaofadhili Ujenzi wa makazi ya walowezi pia kuwawekea vikwazo wanasiasa walowezi wa Israel kama kina Ben Gavir, Bezazlel Simotrich walio mistari wa mbele kupora ardhi za Wapalestina na kuchochea ghasia.
 
Waarabu wa Ghuba adui wao mkubwa ni utawala wa kishia wa Iran sio Israel.
 
Hata kipofu anajua Iran ni nchi la magaidi

kila siku linanyonga raia wake km kuku

Nchi inayonyonga raia wake kwasabab za kisiasa na kidini haiwezi kusimama

ni suala la muda tu yule Ayatollah kilema yatamkuta km gaidi asad
Saud Arabia ina wakata vichwa kabisa raia wake....tena hadharani kwa makosa hayo hayo ya Kisiasa na Kidini.
 
Waarabu wa Ghuba adui wao mkubwa ni utawala wa kishia wa Iran sio Israel.
Wale ni wajinga na akili hawana, wanaelewa fika Israel inanyanyasa watu wa Gaza, ila tu wanaiogopa Israel.

Hata Iran wanaiogopa, hao ndio walimfanyia fitina Sadam mpaka akauawa.

Kiufupi wanaogopa nguvu ya Iran , uwezo na ushawishi ambapo inaweza kuja kuangusha falme zao...
 
Wewe unaijua westbank kuliko mabwana zenu USA? punguza ujuaji. Balozi kasema wale wayahudi wanaovamia westbank ni magaidi sasa tumuamini yeye au wewe myahudi wa mpitimbi?
Waarabu-koko mna matatizo sana akili zenu zimeharibiwa na Marekani!!!

Kila kitu Marekani akisema lazima mkiamini maana kawateka akili na kwa sasa Mungu wenu ni Marekani anawapiga mpaka mnachakaa lakini hamuachi kumramba makalio yake!!!

Waarabu-Koko ni janga la kitaifa mnamsujudia mno Marekani!!

Israel itaendelea kuwaangamiza magaidi huko Judea & Samaria!!!
 
Nakushangaa sana hata hivyo endelea kubwabwaja tu maana Mara nyingi ukiwa ** Mwarabu-koko** na akili huwa zinaisha!!
Ulisikia Toka lini Taifa Teule likadai ardhi ya Saudia? Ujinga tu ndiyo unawasumbua kwa kueneza uongo ambao haupo!!
 
Bwab
Bwabwaja yote lakini haiondoi ukweli kuwa Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati na Uajemi!!!!

Magaidi wa AANGAMIZWA Kama kawaida!!!!
 

lakini inavyoonekana ni kama wamebariki wapalestina waondolewe Gaza na West Bank. Waende kusikojulikana
 
Nakushangaa sana hata hivyo endelea kubwabwaja tu maana Mara nyingi ukiwa ** Mwarabu-koko** na akili huwa zinaisha!!

Ulisikia Toka lini Taifa Teule likadai ardhi ya Saudia? Ujinga tu ndiyo unawasumbua kwa kueneza uongo ambao haupo!!
Kumbe hata biblia hausomi? Kumbe ulikua hujui Saudi Arabia ni sehemu ya ardhi aliyopewa Abraham!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…