Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Wapinzani ndio wanaowajengea hiki kiburi kwamba they matter.Huyo balozi ni nani mpaka ampangie Magufuli cha kufanya?. Inaonekana ameanza kukosa adabu. Tanzania ni nchi huru tangu 1961.
Nenda kamuulize huyo balozi wa Marekani, Je Marekani mtu anayefanya makosa huwa hapaswi kukamatwa eti kisa tu yeye ni kiongozi wa chama fulani cha upinzani? Atuambie je Marekani viongozi wa vyama vya upinzani wapo juu ya sheria?Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Mkuu huoni wao wanatuchokoa? Kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye silaha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...huku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!hata kama tuwe tumelewa madaraka vipi, tuache kuwachokoa wamarekani.
Kueleweka nini kwa mfano? Ni nchi gani ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wapo juu ya sheria?? Acha uzwazwa weweKitaeleweka tu
Ni kweli ila tuwe makini na hao wanaotuunga mkono. Uzalendo kwanza kuungana mkono badae, historia ya Marekani inafahamika kumuunga mkono Marekani ni upumbavu. Marekani ni taifa linaloishi kwa unyang'anyi.Hata Balozi wa China nae alitoa matamko kila anapoona dalili za chama tawala kukwama. Nilichobaini ni kila chama kina nchi ngeni inaewaunga mkono
Acha ujinga balozi huyu anahusikaje KenyaHivi
huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Nadhani atujibu Je Marekani kuna mtu yupo juu ya sheria?? Atuambie asijifanye ana mahaba ya kipuuzi, kama anawapenda wahalifu awapeleke huko huko Marekani ila sio Tanzania.Mbona awakemei wanapo hamasisha civil disobedience halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.
Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Tusaidieni tunaangamia.
Mwambie balozi wenu aliyepo USA atoe tamko na yeyeMkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
KabisaNadhani atujibu Je Marekani kuna mtu yupo juu ya sheria?? Atuambie asijifanye ana mahaba ya kipuuzi, kama anawapenda wahalifu awapeleke huko huko marekani ila sio Tanzania.
kWAO KUNAWAKA PIA, yamewashindwa
Wapinzani ni wasaliti wakubwa kwa nchi yetu, kila siku kujitongozesha kwa mataifa ya Ulaya. Yaani bora CCM ibake peke yake tufute hivi vyama vya upinzani vya sasa na kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili. Na kisiwe chama cha mtu mmoja viwe vinafanyiwa vetting kwa viongozi wake na vyombo vya usalama. Sio hawa wapinzani hata hatuwajui vizuri wanaibuka na kutaka kupiga nchi kiberiti.Mkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!
Mbona awakemei wanapo hamasisha civil disobedience halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.
Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Bahati mbaya ni kwamba ujumbe wake unatufikia ila wako haumfikiiiHatuwaachi, fanya unavyotaka, white pig, ...
Wapinzani ni wasaliti wakubwa kwa nchi yetu, kila siku kujitongozesha kwa mataifa ya ulaya. Yaani bora CCM ibake peke yake tufute hivi vyama vya upinzani vya sasa na kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili.Mkuu huoni wao wanatuchokoa? kwao wana uchaguzi, kura za mgombea wao mmoja zinaibwa na kutupwa majalalani, vikundi vya wanamgambo wazungu wenye siraha nzito wapo wanajifua eti wanatetea maslahi ya weupe dhidi ya waafrika na wakuja wengine...polisi wazungu wanakandamiza shingo za weusi na kuwapeleka kuzimu fasta...kuku kwetu ni wanasiasa wenye njaa wanapigania ruzuku tu acha tuwaweke ndani magaidi hawa!