Pre GE2025 Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CIA recruited on move , unadhani hela sugu anatoa wapi za kujenga mahoteli kila siku

USSR
 
Kwel kabisa kwenye watoto wa mjini muongeze JK, Makamba Junior na kinana
 
Shda ya kukataa shule mapema ,kazi Yako kubwa ilkua kuchungulia wasichana ulitumia kipo sasa Leo hata kusoma huelewi lugha ,inabidi ujidai unauliza kumbe unataka usomewe na uambiwe maana yake,lakni Kuna mwalimu wa kiingereza Ras Simba
Jadili hoja
 
Lini na wapi tulipiga goti kuomba misaada?
Chutama basi nyeti zisionekane zaidi πŸ˜€ kwani vile vyoo vyenye mabango makubwa 'kwa msaada wa watu wa marekani huvijui?🀣
Yaani msaada hadi kwenye kutunza kinyesi🀬
 
Huwenda anapeleka ujumbe kuwa mtusaidie kushika nchi tutaruhusu ushoga
 
Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...πŸ™πŸ™πŸ™
Lakini misaada yao tunaitaka ama hatuitaki?
 
Mwenyezi Mungu hawezi kamwe kuruhusu kikundi cha watu au chama flani kuwaonea wengine siku zote, siku zaja nao watapata machungu waliyowapatia wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…