Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini na wapi tulipiga goti kuomba misaada?Mkiombaga misaada mnapiga goti na kuwaita wafadhili na marafiki😂
My Take
Vibaraka Huwa wanatengenezwa kutokea mbali .
Wana Mbeya tukatae kuongozwa na vibaraka wa Mabeberu 👇👇
View: https://x.com/USAmbTanzania/status/1847260035329544348?t=L-XZ5SgVYWR9PNHiwaJjaA&s=19
Malaria no More 😂😂😂Lini na wapi tulipiga goti kuomba misaada?
Huko shule walisomea ujingaView attachment 3129949
Unawahi wapi!?,kuja Siri gani..., Kato ya beberu!?.. hivi mnapewa hata kozi ya kuwa chawa au mnavamia fani za akina Lukas!???
Kwel kabisa kwenye watoto wa mjini muongeze JK, Makamba Junior na kinanaHapa Tanzania kuna Walugaluga ndio nyie akina Lucas, Choice, mchungaji Msigwa nk halafu kuna Watoto wa Mjini akina Nchimbi, Mbowe, Mongela nk kisha kuna wale Wanyamwezi akina Sugu, Fatma Karume, Tundu Lisu, Nyalandu, Lau, Makamba jr nk
Sidhani kama utaelewa 😂😂
Mleta mada amepanic hakuona hata haja kureview heading ya post yameView attachment 3129949
Unawahi wapi!?,kuja Siri gani..., Kato ya beberu!?.. hivi mnapewa hata kozi ya kuwa chawa au mnavamia fani za akina Lukas!???
Jadili hojaShda ya kukataa shule mapema ,kazi Yako kubwa ilkua kuchungulia wasichana ulitumia kipo sasa Leo hata kusoma huelewi lugha ,inabidi ujidai unauliza kumbe unataka usomewe na uambiwe maana yake,lakni Kuna mwalimu wa kiingereza Ras Simba
Chutama basi nyeti zisionekane zaidi 😀 kwani vile vyoo vyenye mabango makubwa 'kwa msaada wa watu wa marekani huvijui?🤣Lini na wapi tulipiga goti kuomba misaada?
Mpige goti mara ngapiLini na wapi tulipiga goti kuomba misaada?
The Ambassador does not have to worry: Sugu means ",hardy"Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono 😀😀
PIA SOMA
- Tetesi: - Balozi wa Marekani kumtembelea Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa!
Lakini misaada yao tunaitaka ama hatuitaki?Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...🙏🙏🙏
KAMA AMEKASIRIKA ARUSHE NBOMUBalozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono 😀😀
PIA SOMA
- Tetesi: - Balozi wa Marekani kumtembelea Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa!