Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kaongelea msikitini halafu unasema Watanzania, sema waumini wa dini yake..Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania
Yalaaniwe magaidi ya Hamas kwa kusababisha vifo vya wasio na hatia. Wateketezwe hamasi ili Waisrael wawe salama na wapalestina wa Gaza wawe salama kama walivyo wapalestina wenzao wa Ramallah.Walaaniwe kabisa kwa kuwafungia huduma muhimu za kibinadamu!
Achana na huu uchafu. UnajiaibishaBALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.
Israel ni genge la wahuni kama walivyo america sasa mpaka leo hii wanasaidiwa silaha kwa kikundi cha maskani wanashindwa kuwaliza wanauwa wasio na hatia!Yalaaniwe magaidi ya Hamas kwa kusababisha vifo vya wasio na hatia. Wateketezwe hamasi ili Waisrael wawe salama na wapalestina wa Gaza wawe salama kama walivyo wapalestina wenzao wa Ramallah.
Kweli ndege sabini kwa wahuni tu wa maskani uwezo wa kijeshi israel unatia mashaka!Manowari kutoka America USS Gerald Ford, imetia nanga Pwani ya Israel ikiwa imebeba ndege vita 70 ili kuongeza kuvu kusambaratisha kikundi cha magaidi Hamas.
Kwani hao Hamas wamewekwa madarakani na nani?Israel ni genge la wahuni kama walivyo america sasa mpaka leo hii wanasaidiwa silaha kwa kikundi cha maskani wanashindwa kuwaliza wanauwa wasio na hatia!
Hata na mimi ile weekend nikawatia mashaka kushambuliwa na wanamgambo ila kwasasa moto wamewaperekea nimeona lsreal ni hatali mno ...vita ya kagera walitudanganya.Kweli ndege sabini kwa wahuni tu wa maskani uwezo wa kijeshi israel unatia mashaka!
Kwanini tusianze kuyalaani magaidi ya hammas yaliua waisrael kwenye tamasha la michezo,yamechinja watoto,yamebaka,yameteka raiaBALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.
Huo msaada ni kwaajili ya Iran na Hezbollah wasiingilie hiyo showIsrael ni genge la wahuni kama walivyo america sasa mpaka leo hii wanasaidiwa silaha kwa kikundi cha maskani wanashindwa kuwaliza wanauwa wasio na hatia!
Palestine katika ujumla wake hakuna tatzo,BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.
Wachochezi na sio wasuluhishiManowari kutoka America USS Gerald Ford, imetia nanga Pwani ya Israel ikiwa imebeba ndege vita 70 ili kuongeza kuvu kusambaratisha kikundi cha magaidi Hamas.