Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hujabubujikwa na Machozi?Itakuwa vyema sana.
Enzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etcRwanda wanajidanganya wana nguvu sana. Ila sasa hivi wamejikoroga
DemonizationEnzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc
Enzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc
ikishawaingia wananchi akilini angeandaa audience pembezoni kabisa huko kuongea na warina asali na angetumia nafasi hiyo kutangaza vita.
Zile phrases tatu - sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo alizitolea Songea na ndio vita na Nduli Idd Amin Dada ikawa imetangazwa rasmi!
Songea au Mwanza? Ngumbaru sina kumbukumbu vzrEnzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc
ikishawaingia wananchi akilini angeandaa audience pembezoni kabisa huko kuongea na warina asali na angetumia nafasi hiyo kutangaza vita.
Zile phrases tatu - sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo alizitolea Songea na ndio vita na Nduli Idd Amin Dada ikawa imetangazwa rasmi!
Angeongeza na wa US ingependeza zaidi.Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinika ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers
SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
Kagame kakaa Ilala Dar es salaam mwaka gani mkuu?Kagame ni rafiki yangu na jirani yangu wakati anakaa ILALA, ni mtu mwema kweli, mtulivu sana asiyependa kelele, alikuwa akiingia ndani na range Rover yake nyeusi basi atatoka kesho asubuhi kwenda kwenye kazi zake!
Itakua kakaa mwakani...Kagame kakaa Ilala Dar es salaam mwaka gani mkuu?
Nothing new, baada ya muda zitaanza jitihada tena za kufufua mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi mbiliKufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers
SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
Hapo ndo watu wanapiga pesaNothing new, baada ya muda zitaanza jitihada tena za kufufua mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi mbili
Makondoo sisi! Tunajifanya wasamalia wema , upuuzi kabisa kabisa,mtu kaua askari wetu ilitakiwa kutoa kauli kali sana.Hivi Tz imesenaje kufuatia wal wanajeshi wetu waliouliwa?