Tetesi: Balozi wa Rwanda nchini Afrika Kusini kutimuliwa!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers

SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
 
Rwanda wanajidanganya wana nguvu sana. Ila sasa hivi wamejikoroga
Enzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc

ikishawaingia wananchi akilini angeandaa audience pembezoni kabisa huko kuongea na warina asali na angetumia nafasi hiyo kutangaza vita.

Zile phrases tatu - sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo alizitolea Songea na ndio vita na Nduli Idd Amin Dada ikawa imetangazwa rasmi!
 
Amezoea kuua watu wasio na hatia na anadunda tu. Sasa hivi wamkamue utumbo akome kusababisha vita kwenye hili eneo.
 
Enzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc

ikishawaingia wananchi akilini angeandaa audience pembezoni kabisa huko kuongea na warina asali na angetumia nafasi hiyo kutangaza vita.

Zile phrases tatu - sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo alizitolea Songea na ndio vita na Nduli Idd Amin Dada ikawa imetangazwa rasmi!
Songea au Mwanza? Ngumbaru sina kumbukumbu vzr
 
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinika ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers

SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
Angeongeza na wa US ingependeza zaidi.
 
Hivi Tz imesenaje kufuatia wal wanajeshi wetu waliouliwa?
 
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers

SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
Nothing new, baada ya muda zitaanza jitihada tena za kufufua mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi mbili
 
Back
Top Bottom