Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Naomba kazi Jf , hata ya kumlinda Mello
Nyie
Suma JKT mna makasiriko Sana tusije kukupa kazi ukamtengua nyonga
boss @Maxence Mello kisa kakubania buku ya kwenda kunywa gongo maana Kwa vizinga hamjambo nyie๐Ÿ˜
Halafu weka CV Yako hapa usije kua mlinzi wa mchongo kama Urio Kwa Mbowe ohooooo hatupendi matatizo sisi
Eboooo!
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hivi hapo JF hakuna mapandikizi ya usalama wa taifa kwelii !?? isije kuwa nyeti zetu zipo wazi mbele ya kadamnasi
Dah mkuu utamjuaje sasa..
Nikuomba tu Mungu..
Tusije kua tunakata viuno umu kumbe tuko uchi kwa wenye mamlaka
 
Mshaaanza na Mambo yenu ya usalama wa Taifa

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu kauliza jambo la msingi ukiwaza kama gt katkat ya hiyo line kuna ya kufikiri..
Hebu fanya kuwaza kama mtoa mada mfano wapo umo ndani ๐Ÿ˜,
Hatupo uchi..
Humu ndani tunajiachia kwa kujua hatujulikani.
 
Ila izi pisi kali kuonekana hapo hadharani ivyo kiusalama kwetu inakuwaje hapo
 
Kaka mimi nina bachalor ya IT, alafu mlinzi wa Suma jkt... Naomba kazi
 
Pamoja na mambo mengine, ameweza kujua ....nafanya uchechemuzi wa Haki za Kidijitali


Pamoja na mambo mengine wameweza kujua tunavyofanya uchechemuzi wa hazi kidijitali....

What the hell is that ??? Pamoja na mambo mengine, mengine yepi ???

Wazungu huwa hawana safari za kujuliana hali na kushangalia computer za ofisi..... hahahaaaaaaa

basi waalikeni na serikali waje kukagua mnavyofanya uchechemuzi wa kidijitali!

Jamvi la utandawazi limeficha agenda ya mkutano....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ