Dhuks
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 1,629
- 697
Victory threshold ni 50%. Victory ni at least 50% plus one vote (and at least 25% of votes from 24 counties).Uhuru kapata 50.7%.Na hizo counties ka satisfy. Kwa mujibu wa kamisheni ya uchaguzi.
And now for some elementary math.
Margin ya victory ya Uhuru ni 50.7% - 50%.Margin ya victory ya Uhuru ni 0.7%.
Victory si Uhuru kumshinda Raila. Ni Uhuru kupata Urais. Mudavadi angepata Urais, halafu Uhuru awe nafasi ya tano na Raila awe nafasi ya sita, ungesema Uhuru ana "victory" bila ku qualify?
Uhuru aliingia kwenye uchaguzi huu kwa nia ya kumshinda Raila au kuwa rais wa Kenya?
Uhuru angepata 49.9% au 50% without a single additional vote, asingepata victory. Uchaguzi ungeenda kwenye raundi ya pili kati ya Raila na Uhuru. Hiyo isingekuwa victory.Kwa sababu threshold ya victory ni 50%, ukizidisha kura moja (na kupata robo ya kura kwenye counties 24 au zaidi) umeshinda outright, usipozidisha hujashinda.
Usichanganye margin ya victory ya Uhuru na tofauti ya kura za Uhuru na Raila.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Nilidhani unatatizwa na hesabu kumbe ni kizungu, HII NDIO MAANA YA MARGIN OF VICTORY
A statistic based on the difference between the number of points scored by the winning team and the number of points scored by the losing team.