Balozi wa Tanzania Batilda Salha Buriani amtembelea Uhuru Kenyatta.

Balozi wa Tanzania Batilda Salha Buriani amtembelea Uhuru Kenyatta.

Victory threshold ni 50%. Victory ni at least 50% plus one vote (and at least 25% of votes from 24 counties).Uhuru kapata 50.7%.Na hizo counties ka satisfy. Kwa mujibu wa kamisheni ya uchaguzi.

And now for some elementary math.

Margin ya victory ya Uhuru ni 50.7% - 50%.Margin ya victory ya Uhuru ni 0.7%.

Victory si Uhuru kumshinda Raila. Ni Uhuru kupata Urais. Mudavadi angepata Urais, halafu Uhuru awe nafasi ya tano na Raila awe nafasi ya sita, ungesema Uhuru ana "victory" bila ku qualify?

Uhuru aliingia kwenye uchaguzi huu kwa nia ya kumshinda Raila au kuwa rais wa Kenya?

Uhuru angepata 49.9% au 50% without a single additional vote, asingepata victory. Uchaguzi ungeenda kwenye raundi ya pili kati ya Raila na Uhuru. Hiyo isingekuwa victory.Kwa sababu threshold ya victory ni 50%, ukizidisha kura moja (na kupata robo ya kura kwenye counties 24 au zaidi) umeshinda outright, usipozidisha hujashinda.

Usichanganye margin ya victory ya Uhuru na tofauti ya kura za Uhuru na Raila.

Hivi ni vitu viwili tofauti.

Nilidhani unatatizwa na hesabu kumbe ni kizungu, HII NDIO MAANA YA MARGIN OF VICTORY

A statistic based on the difference between the number of points scored by the winning team and the number of points scored by the losing team.
 
Kama sijakosea Uhuru alipata 50.07% na sio 50.7%!!!

Thank you.

Even worse. Margin ya ushindi ni ndogo mpaka watu wanakosea decimal place!

Margin ya ushindi ni 0.07% na si 0.7 kama nilivyosema awali.

I stand rebuked and corrected.
 
One lesson that I've learned during this and past elections in Kenya: It's hard for a non Kikuyu to become a president in Kenya (with the exception of Moi who become Kenya's president after Kenyatta's demise)
 
Nilidhani unatatizwa na hesabu kumbe ni kizungu, HII NDIO MAANA YA MARGIN OF VICTORY

Kwani kuna mechi ya mpira hapa?

Swali lilo kati hapa ni victory ya nini? Ya Urais au ya kumshinda Odinga?

Kama ya kumshinda Odinga hapo ndipo utakapoleta habari za "winning" and "losing" team.

But this election was not about kumshinda Odinga, it was about winning the presidency.

Kwa hiyo bar ya victory ni bar ya ku clinch the presidency, sio kumshinda Odinga.

Tatizo siasa za Africa zimetawaliwa na personality politics.

Unashangilia kumshinda Odinga kwa landslide wakati margin ya victory ni "barely legal"? Wakati karibu nusu ya wapiga kura hawajamchagua rais?

Mimi sina matatizo na ushindi wa Uhuru hata kama ungekuwa wa 50% plus one vote tu.

Lakini hizi habari za landslide zinatoka wapi wakati margin ya ushindi ni 0.07% kama tunavyoona hapo juu?

Kwa watu wanaoangalia probability na statistics kwa kura mamilioni zote 0.07% is not even out of the typical margin of error.

And you call this a landslide?
 
Seems like some of you have to be taught something about numbers, that 0.7% was not Kenyattas margin of victory ; it was the number that he surpased over the 50%+1 benchmark. Put simply Kenyatta garnered more votes than all the competition plus spoilt votes and still had 4100 votes to spare.

Ok, is that overwhelming majority victory? Why if he could have gathered 70% or 90%?
 
Kwani kuna mechi ya mpira hapa?

Swali lilo kati hapa ni victory ya nini? Ya Urais au ya kumshinda Odinga?

Kama ya kumshinda Odinga hapo ndipo utakapoleta habari za "winning" and "losing" team.

But this election was not about kumshinda Odinga, it was about winning the presidency.

Kwa hiyo bar ya victory ni bar ya ku clinch the presidency, sio kumshinda Odinga.

Tatizo siasa za Africa zimetawaliwa na personality politics.

Unashangilia kumshinda Odinga kwa landslide wakati margin ya victory ni "barely legal"? Wakati karibu nusu ya wapiga kura hawajamchagua rais?

Mimi sina matatizo na ushindi wa Uhuru hata kama ungekuwa wa 50% plus one vote tu.

Lakini hizi habari za landslide zinatoka wapi wakati margin ya ushindi ni 0.07% kama tunavyoona hapo juu?

Kwa watu wanaoangalia probability na statistics kwa kura mamilioni zote 0.07% is not even out of the typical margin of error.

And you call this a landslide?

Two things, you have a notion that if Uhuru had got 49.8% hhe would not have won. Here what you are not considering is the meaning of the word win. He would have won but failed to clinch the presidency. So the margin of victory is what he garnered above his competitor which in this case is over 800k votes.
That brings me to the second point, there was some threshold. Here you only needed one vote more than all the competition but in this case Uhuru got 4100 which means his margin above the threshold is 4100 votes.
 
Uhuru kaingia uchaguzi gani?

Uchaguzi wa kumpita Raila kwa kura au wa kuwa rais wa Kenya?

Margin ya kura 4100 out of the millions of votes ndiyo landslide?
 
Ili awe karibu na Jimbo alilolikosa 2010! NAIROBI na ARUSHA si mbali ati

Mkuu Safari_ni-Safari, hata akirudi 2015 alambe wana Arusha miguu hawezi kupata kitu!! Tena anyamaze kimya, tena kimya kabisa kisisasa!!! Aendelee kuwa Balozi wee hadi upinzani utakapochukua nchi basi arudi kulea familia yake zanzibar!!!
 
Back
Top Bottom