Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia amerudishwa nyumbani kwa tuhuma za Upotevu wa Fedha Ubalozini

Yupo mmoja Marehemu Bibi Mwanakondo Aziz Ally alikuwa Kamanda wa Police Railway huyu alikuwa mtoto wa Marehemu Aziz Ally. Nilipata kuishi jirani na huyu mama pale Gerezani Railways
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HiZi ni drama tuu kwa hali ya balozi zetu mabilooni gani yataliwa?
Kama kweli kala wampeleke mahakamani nasio kumpuzisha ili aendelee kula raha na kodi zetu
Nchi hii ccm wakiwa white house ufisad hauishi ng'oo
Trust me
Ni kweli Mkuu kwani hadi leo Kangi Lugola bado yuko mtaani anadunda zake. Tumeshazichoka hizi drama zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... umetukumbusha familia sijui ukoo wa Kennedy kule Marekani! Ni mabalaa tu.
 
Dk mihogo nae kapiga chake baada ya kuona kila mtu ccm ni fisadi,akajiongeza kuchukua chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Slaa asipochukuliwa hatua Kati ya haya mawili atakuwa nalo moja.

1. Amemzidi Jiwe na bashite kwa uchawi

2. Ana maagizo toka juu ya kupiga ili wagawane

Nchi hii waziri wa Mambo ya ndani,mkuu wa jeshi la polisi,wakitaka pesa wanatoa maagizo kwa makamanda wa mikoa,utaona trafiki barabarni wanawasha Moto kusimamisha magari,bodabora,kutwa moja tu millions zinapelekwa.
Waziri wa ujenzi nae anaagiza tu mainjinia wapige wagawe nk
Hivyo ndiyo michezo wanayotuumiza nayo.
Utaona nchi nzima trafiki wapo njiani,ukiwauliza wanakwambia operation nchi nzima
Tutaona kwa slaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si aambiwe arudishe tuu kama toto pendwa alivyo ambiwa arudishe?
 
Kuna kipi haswaah huko Ethiopia, ukiachia na balozi kupokea wajumbe wa mikutano ya AU na mambo ya kiafrika🙄??

Hakuna mradi wowote wa kupigia pesa...waache zengwe, pesa kawa entertain hao hao walipoenda mikutanoni Addis...
Watamsingizia aliwachukulia hotel za gharama...badala ya kuwachukulia guest..

Everyday is Saturday.................😎
 


Inaonekana huo ukoo wa Aziz Ally wamesoma sana na wana karama ya Uongozi
 
Huyu sio mjukuu wa Azizi Ally wa mtongani kwa Azizi Ally. Si wapo vizuri tangu ukoloni
Hamza Aziz ndio yule IGP wa kwanza? Watoto wake wote walikuwa njema toka enzi zile. He was a.man with vision, I think so..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…