Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,137
- 2,233
kama unaona wivu kaliwe wewe denda,maana nyie mashoga kwa wivu tu.Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unaona wivu kaliwe wewe denda,maana nyie mashoga kwa wivu tu.Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!.
Tukianzia kwa Aziz Ally
Kuna Dossa Aziz muasisi wa TANU alikutana na majanga.
Akaja Hamza Azizi wa polisi akakutana na majanga.
Akaja Capt. Azizi wa ATC naye yakamkuta ya kumkuta
Kuna mrembo mmoja wa familia ya Aziz naye ana yake.
Sasa Balozi Aziz!.
NB. Inawezekana ni majina tuu kufanana lakini hao Aziz wakawa ni familia tofauti na sio familia moja, lakini wakiwa ni familia moja, waandishi wa IJ inabidi wawatembelee.
Mzee wetu Maalim Mohamed Said bingwa wetu wa historia za waasisi, jee kina Aziz hao ni nasaba moja?. Tupe kisa cha Aziz Ali na Dossa Aziz watu wa kuunganisha dots tuunganishe kama yanayowatokea kina Azizi ni karma au ni ya walimwengu tuu, maana Balozi naye ni mashallah, udhaifu wa watu wetu tunaujua!, kisije kuwa ni kisa kama cha yule mama jicho gololi wa TIC au yule baby face wa SSRA.
P
Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu kwani hadi leo Kangi Lugola bado yuko mtaani anadunda zake. Tumeshazichoka hizi drama zao.HiZi ni drama tuu kwa hali ya balozi zetu mabilooni gani yataliwa?
Kama kweli kala wampeleke mahakamani nasio kumpuzisha ili aendelee kula raha na kodi zetu
Nchi hii ccm wakiwa white house ufisad hauishi ng'oo
Trust me
... umetukumbusha familia sijui ukoo wa Kennedy kule Marekani! Ni mabalaa tu.Duh!.
Tukianzia kwa Aziz Ally
Kuna Dossa Aziz muasisi wa TANU alikutana na majanga.
Akaja Hamza Azizi wa polisi akakutana na majanga.
Akaja Capt. Azizi wa ATC naye yakamkuta ya kumkuta
Kuna mrembo mmoja wa familia ya Aziz naye ana yake.
Sasa Balozi Aziz!.
NB. Inawezekana ni majina tuu kufanana lakini hao Aziz wakawa ni familia tofauti na sio familia moja, lakini wakiwa ni familia moja, waandishi wa IJ inabidi wawatembelee.
Mzee wetu Maalim Mohamed Said bingwa wetu wa historia za waasisi, jee kina Aziz hao ni nasaba moja?. Tupe kisa cha Aziz Ali na Dossa Aziz watu wa kuunganisha dots tuunganishe kama yanayowatokea kina Azizi ni karma au ni ya walimwengu tuu, maana Balozi naye ni mashallah, udhaifu wa watu wetu tunaujua!, kisije kuwa ni kisa kama cha yule mama jicho gololi wa TIC au yule baby face wa SSRA.
P
Slaa asipochukuliwa hatua Kati ya haya mawili atakuwa nalo moja.Dk mihogo nae kapiga chake baada ya kuona kila mtu ccm ni fisadi,akajiongeza kuchukua chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda huyo Balozi aligoma kutoa rushwa wameona wamumalize kwa kumuondoa
Si aambiwe arudishe tuu kama toto pendwa alivyo ambiwa arudishe?Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha
Utafiti unaonyesha balozi huyu ni mama Naimi Hamza Azizi
Na suala hili lilianza kuchunguzwa tangu mwaka jana kama inyosemeka hapa chini
View attachment 1400286
Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia mikononi mwa Takukuru
Friday November 15 2019
Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania imekabidhiwa jalada na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki la uchunguzi la upotevu na matumizi mabaya ya fedha katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.
Advertisement
Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeikabidhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jalada la kulifanyia uchunguzi upotevu wa fedha katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Faraji Mnyepe amekabidhi jalada hilo leo Ijumaa Novemba 15, 2019 kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo katika ofisi ndogo za wizara jijiji Dar es Salaam.
Hatua hiyo imekuja kutokana na jitihada za Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais John Magufuli za kupambana na kuzuia rushwa pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Uchunguzi huo unafanyika baada ya kubainika upotevu/matumizi mabaya ya fedha katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.
Kuhusu kiwango cha fedha kilichopotea Katibu Mkuu, Dk Mnyepe amesema kitajulikana mara baada ya Takukuru kukamilisha uchunguzi huo wa jalada walilokabidhi.
Picha yake tafadhali
Watu wa shamba haya mambo mtayajulia wapi?Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo mmoja Marehemu Bibi Mwanakondo Aziz Ally alikuwa Kamanda wa Police Railway huyu alikuwa mtoto wa Marehemu Aziz Ally. Nilipata kuishi jirani na huyu mama pale Gerezani Railways
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!.
Tukianzia kwa Aziz Ally
Kuna Dossa Aziz muasisi wa TANU alikutana na majanga.
Akaja Hamza Azizi wa polisi akakutana na majanga.
Akaja Capt. Azizi wa ATC naye yakamkuta ya kumkuta
Kuna mrembo mmoja wa familia ya Aziz naye ana yake.
Sasa Balozi Aziz!.
NB. Inawezekana ni majina tuu kufanana lakini hao Aziz wakawa ni familia tofauti na sio familia moja, lakini wakiwa ni familia moja, waandishi wa IJ inabidi wawatembelee.
Mzee wetu Maalim Mohamed Said bingwa wetu wa historia za waasisi, jee kina Aziz hao ni nasaba moja?. Tupe kisa cha Aziz Ali na Dossa Aziz watu wa kuunganisha dots tuunganishe kama yanayowatokea kina Azizi ni karma au ni ya walimwengu tuu, maana Balozi naye ni mashallah, udhaifu wa watu wetu tunaujua!, kisije kuwa ni kisa kama cha yule mama jicho gololi wa TIC au yule baby face wa SSRA.
P
Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili denda au palaza shavu tu...??!! Haiwezekani….Mwambie Mbowe akamle denda halima hospitalini Ndio mnachoweza View attachment 1400439
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umeniwahi mkuu
Wananchi tumemsamehe hizo tuhuma wamuondelee tu
Hamza Aziz ndio yule IGP wa kwanza? Watoto wake wote walikuwa njema toka enzi zile. He was a.man with vision, I think so..Huyu sio mjukuu wa Azizi Ally wa mtongani kwa Azizi Ally. Si wapo vizuri tangu ukoloni
Inaonekana huo ukoo wa Aziz Ally wamesoma sana na wana karama ya Uongozi