Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Anatafuta sababu mama amuondoe yaani ana ujinga. Hadi nimejiisikia vibaya Kwa MH Ambassador
 
Yaani wagonjwa wengi Sana. Na wewe unashangilia??
Kwani kuna kosa gani umeliona hapo?...
Mnataka viongozi wanaovaa suti huku wakiigiza wema kumbe wahuni tu.

Mmezoea kuishi kimaigizo ndio maana mmeumia kwa alichofanya Humphrey.
 
Ivi sikuiz kucheza Muziki ni utoto!?

Hiiiii baghosha!●

Sikuizi naona jmaa analeta thread za kitoto sijui ndo kuzeeka akili inakuwa ya kitoto.
Na hawa je....




 
Ujawahi kukaa na polepole uyo kijana ni smart
Inawezekana mtoa post ndio anautoto
 
Huwezi kuwa mkata Michongoma sana ukawa na Akili sawa sawa.
 
Too much of hatred of Slow slow
 
Haya ni ya kwake binafsi bana,mbona wapo wengi tyu wanashinda mitandaoni wakifanya yao na vijisuruari vya kubana , wengine huenda bungeni kutuonyesha wake zao wapya
 
Usmart wake ni upi ? utamdanganya nani humu wewe wa kiwango duni kiasi hicho ? nani hamjui Polepole ?

Sasa kwa nini mnahangaika naye ? Mnamfwatilia maisha yake binafsi hata analala wapi na kula nini halafu una question usmart wake ?
 
Smart katika lipi ? Kama unamaanisha maisha sawa Ila kama ni darasani uliza waliomaliza Azania form IV 2000 wakakwambia!!

Sasa kwa nini mna obsession naye kwa kiasi hicho ? Huwezi kuwa na obsessed na mtu bila admiration, hivyo mna muadmire!
 
Kiongozi.

Kwa mtazamo wangu sidhani kama amekosea kwa alichokifanya.

Nikiangalia Mazingira inaonekana hapo yupo Nyumbani na sio Ofisini, na wala si Muda wa kazi.

Mwache ajiachie kwa raha zake, Maisha yenyewe mafupi haya
 
Hii ndio unaona ni tatizo na ukaijengea na mada kabisa. Nikajua jamaa kaharibu kwenye protocal za kibalozi kumbe ni maisha ya mtu binafsi. Leta zile mada za kuruka na ungo ndio nzuri
 
Hakuna Balozi pale.

Huyo Mmoja tu , wapo wengi tu upande ule wa nzi wa kijani.

Wenye akili za hovyo hovyo , muone na raba zake za CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…