USIKARIRIDah.[emoji23] labda nikwambie tu kwamba kila nafasi ya uongozi ina kanuni, masharti na vigezo vyake ..
Hizo kanuni hawakuzijua kabla ya kumpa ubalozi.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USIKARIRIDah.[emoji23] labda nikwambie tu kwamba kila nafasi ya uongozi ina kanuni, masharti na vigezo vyake ..
Na sikumtaja kwa jina bali kwa cheo chake.. Nilichogundua hapa wengi hawaelewi nini maana ya kuwa kiongozi hasa kwenye nafasi nyeti kama ya baloziUsipambanie jambo lisilo kichwa wala MIGUU... leo hata maisha ya Kawaida mtu akioa anatakiwa kubehave tofauti, mtu akiwa mzazi mbele ya watoto kuna mambo hawezi kuyafanya vivyo hivyo kwake kwa nafasi yake!!!!!
Mbona jambo jepesi KUELEWA SHIDA NINI???? Leo ukitumikia nafasi flan za utumishi wa umma huwezi kuonesha itikadi yako ya kisiasa kindakindaki kama kuvaa sare za chama na mfano wake!!!!
Ndiyo maana MLETA MADA AMEAFANUA VIZURI BALOZI WETU mambo anayoyafanya hayaendani na nafasi yake.....
Hii ni 21 st century bro!hizi. Ni zama Internet,social platform,AL,internet of things,Apps,ukianza kufikiri kama wazee wa enzi za Mwalimu,na kuangalia mambo kupitia macho ya watu walioishi miaka 80!wakati hakuna hata mobile phone,utakuwa unachemka,Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!
View attachment 2231544
Naamini wewe nybom ni mtu mzima. Nafahamuvyo, uonhozi una maadili na ukiwa kiongozi lazima ufuate maadili. Sio sahihi kwa kiongozi kunengua, kujirekodi na kutuma video mtandaoni. Zamani kulikuwa na kumbi, Mabwalo au mess za viongozi. Humo watakaa wao, lewa na cheza muziki wao na sio kuingiliana na jamii.Acha utoto na punguza wivu, pia usijikute u mkalifu
Wacha weeeee, hakuna 21st century bila maadili bwana mdogo. Pia naona umeshindwa kutofautisha kati ya Polepole na Balozi. Anayeongelewa hapa sio Polepole ila ni balozi. Kiongozi anatakiwa awe na maadili kama kiongozi. Ushawishi ona hao wenye 21st century wenyewe wanafanya hivyo? Ushawahi mzima Balozi wa USA nchini Urusi au Afghanistan anafanya hivyo bwana mdogo?Hii ni 21 st century bro!hizi. Ni zama Internet,social platform,AL,internet of things,Apps,ukianza kufikiri kama wazee wa enzi za Mwalimu,na kuangalia mambo kupitia macho ya watu walioishi miaka 80!wakati hakuna hata mobile phone,utakuwa unachemka,
Watu wanaoona Pole pole kakosea ni wale wenye 45+chini ya hapo alichokifanya ni chakawaida kabisa,
Don't overthink these things,yaangalie haya mambo kwa macho ya vijana wenye 16+ndio utaelewa hii Dunia ya leo.
Dunia ya leo,Binti yako mwenye 16+anaweza kuja chumbani kwako,amevaa kikaptura aka Kaa kitandani anaomba hela ya kununulia smasung galaxy!!zamani hii ilikuwa uchuro!!!
Huyu hapa balozi wa USA tz akiself na mahindi barabarani.Wacha weeeee, hakuna 21st century bila maadili bwana mdogo. Pia naona umeshindwa kutofautisha kati ya Polepole na Balozi. Anayeongelewa hapa sio Polepole ila ni balozi. Kiongozi anatakiwa awe na maadili kama kiongozi. Ushawishi ona hao wenye 21st century wenyewe wanafanya hivyo? Ushawahi mzima Balozi wa USA nchini Urusi au Afghanistan anafanya hivyo bwana mdogo?
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!
View attachment 2231544
AnaKuna hali mbili au tatu kwenye makuzi

Kwani ukiwa Balozi hutuhusiwi kufurahi au kucheza mbonaKuna hali mbili au tatu kwenye makuzi

Nahisi wewe no follower wake, sababu ulizoainisha za kumuzuia kuingia mitandaoni bado hazitoshi, boresha kidogoBalozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Mimi nitakapo kuwa Rais, nitakuwa najumuika na kucheza sindimba, mbona Zuma alikuwan hapitwi na Umhlanga REED dance na hawakusema?, ni wivu tuuuuuuuuuu unawasumbuaKwani ukiwa Balozi hutuhusiwi kufurahi au kucheza mbona
Hata kufungua nyuzi kuhusu maisha binafsi ya wanaume ni tabia za mademu.Kwanza kujirekodi ni tabia za mademu, haijarishi ni balozi au bodaboda.
Kuna kikundi kinamtetea kwa nguvu zote hapa.. [emoji23] ama kweli ndege wafanano huruka pamoja..
Kina obama, Trump, january makamba, kigwangala, mnyika, fatma karume, Boris johnson n.k wanakesha huko twita pia,. Binafsi sioni shifa yoyote kama majukumu yao wanayatekeleza ipasavyo hiyo ni personal life yaoKuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!
View attachment 2231544
Unajua nini maana ya mahusiano ya kimataifaHuyu hapa balozi wa USA tz akiself na mahindi barabarani.View attachment 2232701
Siyo kwa sababu anacheza, hapana, ni kweli yeye siyo roboti. Ni kwa sababu anacheza PUBLICLY!Kwa sababu anacheza.? Kwan hawa watu huwa mnaona ni maroboti au.?
Kwani kuna kosa gani umeliona hapo?...Usipambanie jambo lisilo kichwa wala MIGUU... leo hata maisha ya Kawaida mtu akioa anatakiwa kubehave tofauti, mtu akiwa mzazi mbele ya watoto kuna mambo hawezi kuyafanya vivyo hivyo kwake kwa nafasi yake!!!!!