game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Hivi haka kajamaa hakanaga mke?!! Nakumbuka Dodoma kalipostigi mara kadhaa kakiwa jikoni kabla hatujaonana ile clip ambayo tuliona KY-gely
Unataka uolewe nae ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haka kajamaa hakanaga mke?!! Nakumbuka Dodoma kalipostigi mara kadhaa kakiwa jikoni kabla hatujaonana ile clip ambayo tuliona KY-gely
Eboo kwaio balozi haruhusiwi kucheza?Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!
View attachment 2231544
Anasema mshana kuwa ukiwa balozi huruhusiwi hata kutikisa sikioEboo kwaio balozi haruhusiwi kucheza?
Tatizo mtu akiwa kashapigwa na Maisha anaponda kila jambo linalofanywa na aliefanikiwaAnasema mshana kuwa ukiwa balozi huruhusiwi hata kutikisa sikio
Babu naona tamthiliya za yoga zimekukaa kichwani na unaziona kama vitu real, bado miaka 3 tusibiri tuone maza is there until 2030, tz sio marekani tz hakuna deep state, deep state ya tz ni jumuiya ya uvccm, sasa hapo kuna cha maana kama tiss imejaza makada watupu.
Naona mwenye mme wake umejitokeza!!!
Ni kweli lakini anatakiwa sasa vitu personal asiviweke public, ndiyo kosa analofanya. Watu tunazihitaji hizi nafasi na tunapomuona anafanya huu utoto tunajua hayuko serious na kazi. Next time naweza nikawa prompted kuiomba kazi yake; yaani kuziambia mamlaka za uteuzi kuwa possibly mimi ninafaa zaidi katika nafasi hiyo kuliko yeye
No unakosea, yeye ni public figure, account ya Instagram au twitter ni ya kwake binafsiMpaka kajipost anachecheza hivyo, siyo tena personal ni public life.
He is a smart gayNijuavyo mimi Polepole is a very smart guy kwa kuwa tu haujamuelewa haimaanishi hivyo unavyodhania!
Punguza wivu kuna kufaDah.[emoji23] labda nikwambie tu kwamba kila nafasi ya uongozi ina kanuni, masharti na vigezo vyake ..
Kama hujui kitu ni bora ukaa kimya!!kuna vyeo fulani ukivifikia serikalini hata sehemu ya kunywa pombe, watu wa kukaa nao unashauriwa kabisa, na maafisa usalama wa wilaya/mkoa, kwani wao ndio wanaokuchunguza mienendo yako hata kama ni nje ya majukumu ya kikazi.ILa kama hujafikia kiwango hicho au kukaa na mtu aliyefikiia huko huwezi kuyajua hayo kamwe.Personal life mnaanza kuingilia, cha msingi kazi anafanya
Once kairusha mitandaoni, it is no longer “personal life”Personal life mnaanza kuingilia, cha msingi kazi anafanya