Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.

Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!

View attachment 2231544
Mkuu usimchukie mtu hadi ukawa unachunguza vitu vidogo vidogo kama hivyo ili kuaminisha jamii kuwa huyo mtu hafai. Polepole ni mtu makini sana. Hata hicho chama chake hafai kuwa huko. Kila mtu anapenda burdani na kwa wathifa uliyonao burdani yako inatakiwa uifanye aehemu maalum.
 
Kaka pembe, nadhani uko sahihi some where ila ukuyafafanua vizuri. Hao uliwataja na wengine wengi ndani ya CHAMA letu, CCM, niwachumia tumbo tu. Ngoja twende and come 2024 na 2025 utaona mambo na hii picha wazi wazi! Tuombe uhai tu kwa Mungu, Yehova.
Mungu atatusaidia mkuu, tutafika tu hata ikitokea hatukufika mawazo yetu yatafika. 2024 sio mbali.
 
Once kairusha mitandaoni, it is no longer “personal life”

Ni sawa na mashoga. Kama wanagongwa miti silently vyumbani mwao, let them “enjoy”. As long wanaibuka mitandaoni kutangaza huo upupu, mkono wa sheria utadeal nao

Anachofanya Polepole hakiakisi haiba ya uongozi.
Haiba ya uongozi ikoje.?
 
Kama hujui kitu ni bora ukaa kimya!!kuna vyeo fulani ukivifikia serikalini hata sehemu ya kunywa pombe, watu wa kukaa nao unashauriwa kabisa, na maafisa usalama wa wilaya/mkoa, kwani wao ndio wanaokuchunguza mienendo yako hata kama ni nje ya majukumu ya kikazi.ILa kama hujafikia kiwango hicho au kukaa na mtu aliyefikiia huko huwezi kuyajua hayo kamwe.
Tatizo ni kuwa umekariri
Huwezi kubadili tabia ya mtu, kiongozi hapimwi kwa lifestyle aliyonayo ndani ya maisha yake binafsi, bali ni uwezo wake wa kukamilisha task anazopewa
 
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri. Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani.

Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala, hasa viongozi hawa wa kisiasa. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa!

View attachment 2231544
National cake [emoji513] inatafunwa vizuri,, anauhakika na cake [emoji513]
 
Mabalozi na wabunge miaka ya nyuma walikuwa ni Watu wanaheshimika Sana .lakini saiv hadhi zao zimeshuka Sana, ila value Yao imeshuka.Jamii pia zinawadharau ..zamani ukisikia balozi Kweli MTU mwenye heshima zake.
 
Tatizo ni kuwa umekariri
Huwezi kubadili tabia ya mtu, kiongozi hapimwi kwa lifestyle aliyonayo ndani ya maisha yake binafsi, bali ni uwezo wake wa kukamilisha task anazopewa
Hilo huwezi ukalielewa kama hujafikia level hiyo!!ndio maana sio kila mtumishi wa serikali ana kula kiapo cha maadili.huo ndio utaratibu ulipo hayo mengine ni mtizamo wako.
 
Kutokana na hilo ndiyo nasema hakuna kitu....

Wewe ni mwakilishi wa NCHI na bado unashikilia kijitu, ni magumu mangapi wananchi wanapitia wewe kukua unajirekodi???

Sawa unapingana na WALIOMPA HIYO POST lakini Je hawa wanaovuja jasho ili YEYE alipwe mshahara na ALLOWANCES zingine anatufanyia haki?

Huo mshahara anaolipwa na KODI za watu, Je anawafanyia sawa???? Kwakweli

Hata yeye ana maisha yake nje ya ubalozi, let him live.

Usigeuze hizo nafasi za uteuzi zionekane ni kamba za kuwazuia watu kuishi watakavyo.
Usipambanie jambo lisilo kichwa wala MIGUU... leo hata maisha ya Kawaida mtu akioa anatakiwa kubehave tofauti, mtu akiwa mzazi mbele ya watoto kuna mambo hawezi kuyafanya vivyo hivyo kwake kwa nafasi yake!!!!!

Mbona jambo jepesi KUELEWA SHIDA NINI???? Leo ukitumikia nafasi flan za utumishi wa umma huwezi kuonesha itikadi yako ya kisiasa kindakindaki kama kuvaa sare za chama na mfano wake!!!!

Ndiyo maana MLETA MADA AMEAFANUA VIZURI BALOZI WETU mambo anayoyafanya hayaendani na nafasi yake.....
 
Hilo huwezi ukalielewa kama hujafikia level hiyo!!ndio maana sio kila mtumishi wa serikali ana kula kiapo cha maadili.huo ndio utaratibu ulipo hayo mengine ni mtizamo wako.
Kwa iyo huyo Polepole hawakujua mambo yake anawekaga public mpaka wakampa ubalozi.?

USIKARIRI
 
Back
Top Bottom