Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

 
Mkuu
Kuna kitu unapaswa kujiuliza hapo!!
Huyu ni mtu anaefurahia ushindi fulani na anashangilia uhusika wake kwenye huo ushindi!!
Nasikia jamaa ni mlokole
Ni kama anashangilia katiba mpya,na anajua jambo FULANI ambalo hata mama halijui KABISA!
TUSUBIRI
Namuona mlokole akipigiwa SALUTI!!
 
Naona ni vitu vya kawaida kuburudika baada ya majukumu kazi..... ingekuwa anafanya hayo mambo ofisini sawa....lakini nyumbani kwake sioni shida........

Ni kazi sana kuwa kiongozi Tanzania na pia ni rahisi sana kuwa kiongozi Tanzania......Haiihitaji maarifa makubwa bali ni namna tu unavyojua kucheza na akili za unaowatawala
 
Kuna mdau hapo juu kamshauri aachane na ubalozi arudi kwenye uanaharakati wake.. Hapo hatutakuwa na cha kusema
 
Kwanza kujirekodi ni tabia za mademu, haijarishi ni balozi au bodaboda.

Kuna kikundi kinamtetea kwa nguvu zote hapa.. [emoji23] ama kweli ndege wafanano huruka pamoja..
 
Fuatilia maisha yake kwanza ndio utamuelewa. Huyo alikuwepo kabla ya samia na magufuli kuwa marais. Ni international figure.
 
Kuna mdau hapo juu kamshauri aachane na ubalozi arudi kwenye uanaharakati wake.. Hapo hatutakuwa na cha kusema
Mkuu
Kwani we huoni!!?
Hebu Angalia VIZURI unaona 2025 kuna uchaguzi!!?
Unaona kuwa hdi hapo 2025 mwenye kiti kikuu atakuwepo alipo!!!?we unaona!!?
Nenda kaangalie!!
Balozi anacheza mziki wa wenye hatma ya NCHI ambao hata mama anawaogopa ana info FULANI AMBAYO anajua future HAINA wahuni tena hapa NCHINI!!
Mshanar ningekuwa WEWE nadhani ningechungulia tena Hadi 2035!!!! TUSUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…