Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimaliza Azania?? Omg! KimeoSmart katika lipi ? Kama unamaanisha maisha sawa Ila kama ni darasani uliza waliomaliza Azania form IV 2000 wakakwambia!!
Bora Bora umempa hii. Yaani watoto Wanauchukukia ubalozi kama kama mjumbe wa nyumba kumi. Huyu angekuwannchi nyingine.. Receiving state ingekuwa na mashaka naye na kisheria wanaruhusiwa kumrudisha kwao.
Once posted on social networks its no longer private.. And remember this post about the ambassador position and not a normal citizen by his nameNi wakati gani faragha ya mtu ikaingiliwa na ikaonekana kawaida na mhusika akaonekana mkosaji, Royal Tour Rais Samia kaonekana kwenye pozi za jau tupo kimya. Kwenye hili Polepole aheshimiwe uhuru wake. Infringement ya privacy yake si sawa na haivumiliki.
Royal tour unafananishaje na Mtu anayecheza kigodoro? Na angekuwa na makalio.....ookkkh That idiot kama wangekuwepo wanawake he would have raised his ass, akicheza kigodoro. Hawa watu wakikuwaga wapi. Alikuja makonda. Huyu naye alikuwaga enzi za Katina. OmgNi wakati gani faragha ya mtu ikaingiliwa na ikaonekana kawaida na mhusika akaonekana mkosaji, Royal Tour Rais Samia kaonekana kwenye pozi za jau tupo kimya. Kwenye hili Polepole aheshimiwe uhuru wake. Infringement ya privacy yake si sawa na haivumiliki.
Yes uko sashihi kbsa mamlaka ya uteuzi iwape mipaka miiko na maadili hasa visa mafunzo kuhusu matumizi ya digital platforms, susceptibility and vulnerability on cameras capture for every move of theirs. Napata shaka tu kama ni tukio la nyumbani je fursa usawa na haki ya viongozi kuserebuka iko wapi na je ukiwa kiongozi ukacheza mziki kwa steps sahihi bila kuudhi jamii kwa miondoko ya huo mziki inakuaje? Je tatizo ni kuonekana yeye pekeee yake, Je kukosekana kwa maudhui jumuishi katka kucheza kwake ndio tatizo? There should be a balance and a clear line on leadership engagement with the public.Once posted on social networks its no longer private.. And remember this post about the ambassador position and not a normal citizen by his name
Tuache wivu wa faragha khaa yelewi...Royal tour unafananishaje na Mtu anayecheza kigodoro? Na angekuwa na makalio.....ookkkh That idiot kama wangekuwepo wanawake he would have raised his ass, akicheza kigodoro. Hawa watu wakikuwaga wapi. Alikuja makonda. Huyu naye alikuwaga enzi za Katina. Omg
Labda smartphoneNijuavyo mimi Polepole is a very smart guy kwa kuwa tu haujamuelewa haimaanishi hivyo unavyodhania!
Labda smartphone
Kwa iyo .?Siyo kwa sababu anacheza, hapana, ni kweli yeye siyo roboti. Ni kwa sababu anacheza PUBLICLY!
Hayo ni personal style za maisha yake hayana uhusiano na cheo chake.
Mwandishi bado hujapona kutafuta mchawi ...endelea kutafuta maana polepole naye atakuacha unatafuta.
Kisha wamfunge🤣🤣🤣🤣Kwa sisi tuliopata bahata ya kusoma clinical psychology jamaa anaenda kupata mental health ill kwa kujiona yeye ni mkubwa sana kwenye hii (grandiose dellusion) kila anapotembea, kila anachokifanya anaona kama nchi yote imemtizama.
Mimi naona ambacho huyu mtu mama samia angekifanya ili akili imrudi amnyang'anya hata ubarozi arudi kwenye kazi yake ya uanaharakati na akijichanganya akaisema serikali vibaya apewe kesi ya ugaidi au ya uhujumu uchumi.