Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Alieuliza Rais yuko wapi, yuko nje.
Na aliejibu kwamba Rais yuko buheri wa afya pia yuko nje.
So muuliza swali na mtoa majibu wote wako nje.
Ngoma Droo.

Tuendelee kupiga kazi
Afu sisi tuliyenaye hapa wala hatuna uhakika wa uwepo wake.

Ila anaweza kuwa magogoni,chamwino ama chato akipiga kazi za kutatua changamoto za raia wa Tz.

Mungu amjalie heri rais wetu.
 
12 March 2021
Windhoek, Namibia

Tanzania's High Commissioner to Namibia says president Magufuli in good health - NBC


Source : Namibia Broadcasting Corporation
Mzee kipilimbi naona kweli amechoka siyo kama alivyokuwa idarani.
 
Just rumours. Time will tell
 
Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.
Wazee wa suti nyeusi wamenifurahisha Sana wanavyopigiana pass ndefu kama Lampard!! Inapigwa pass ndefu toka Tz hadi Namibia! Aliyeko Namibia analianzisha, dunia inasikia kisha anarudisha pass toka Namibia hadi Tz, maeneo ya Njombe na mkuu wa shughuli za serikali bungeni anapokea pass na kupaza sauti. Anaucheza danadana kisha anatoa pass ndefu hadi wapi sijui, itakapofika tutasikia!! Lisu kwa aibu kiamyaaà, utafikIri hakuna alichosikia, Lisu saa haiia anatafunwa na aibu!! Hakuna atakayesikiliza tena maneno ya Lisu! Lisu lkwishney!!
 
Intelligence ina raha yake.

Kuna sababu hao watu watatu wa level za ,Ambassador na RC kuongelea hili...kwa nini sio wengine.
 
Hii interview kufanyikia Namibia imekaa kimkakati zaidi sio kwa bahati mbaya.TISS wapo kazini??!!
Simple.

Kuna sababu kwa nn PM,RC na Ambassador watoe haya matamko na wengine wakae kimya.

Bear in mind KIPILIMBA ni wa huko huko kwenye intelligence.
 
12 March 2021
Windhoek, Namibia

Tanzania's High Commissioner to Namibia says president Magufuli in good health - NBC


Source : Namibia Broadcasting Corporation
Wewe omba Mungu tu ili Makamba asiwe na kinyongo, vinginevyo anaenda kuwafurusha wote huko. Utawala wa KIFALME BYE BYE.
 
Isingepita wiki bila kuwaprove wrong watu angeibukia kwenye utumbuzi au ufunguzi.
 
Kipilimba pimbi tu yeye mwenyewe huo ubalozi kapewa ili afichwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…