Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Kwani ni lazima aonekane? Si mmeshaambiwa na Balozi Lissu kuwa yuko India/China? Au hamwamini Balozi Lissu??
Lisu atawajibika kutoa updates kwa "wafuasi" juu ya kinachoendelea kwa Rais Magufuli huko India, alifikia hospitali gani na ana hali gani kwa sasa!!
Kajitakia mwenyewe fedheha hii!! Lisu kwishney!!
 
13 March 2021
Tundu Lissu afafanua katiba ya Tanzania inatamka nini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiugua / kuumwa nini hufanywa, "haitakiwi siri ni suala la umma kufahamishwa"

TANZANIAN OPPOSITION LEADER,TUNDU LISSU;REVEALS SOME MAJOR SECRETS ABOUT MAGUFULI'S HEALTH



Source : Kenya Leo TV
 
Utopolo mwambie aendelee na kazi yake ya Ubalozi wa Mashoga ya TZ hayawezi.
 
Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.
Ukisikia yokozuna mixer veve ndio hii sasa
 
nimependa hii article.."former chemistry professor.. " hatari sana
 
Nikweli hata wakati wa kampeni hali you ilijitokeza mara kwa mara hadi ratiba zikawa zina badalishwa na ratiba kusini ikafutwa.
sasa Mimi sioni ajabu mkuu kutoonekana hadharani aekiendelea na maisha na hawa MATAGA hawata sema ukweli maana kuongea uwongo ni jadi yao maana wana shahada za propaganda ili mkuu asionekane ni dhaifu. Hata maeneo ambazo hawakubaliki wana lazimisha wanakibalika ila mwisho wa yote hatima inakaribia kinacho subiriwa kita timia mwisho wa ubaya ni ubaya hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…