Athari za korona unazijua wewe??? By the way, bado hao jamaa zenu wanatoka huko ughaibuni kuja kugombea Tanzania, hivyo hizo Euro zao kiduchu zimetumika kupambana na mafua yao ya Korona .
David Mc Allister ni wa ufipa 🤣🤣🤣mataga wamepagawa🤣 KWA HIYO David Mc Allister ni mzushi?
'Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.'
Beberu limemjibu 'NITAKUPANGIA TAREHE YA KUNIONA'.
Kwani tangu lini Donor Country inapigia magoti mabeberu?
Huyu Balozi wetu kilaza ndo ana kiherehere kwa nini akanushe yeye anachodai uongo uliokuwa unaenea hapa nchini kuhusu Bunge la EU na huku Umoja huo una Balozi wake nchini? Pili, Ubelgiji ni Makao Makuu ya EU lakini Bunge lake liko Strasbourg, Ufaransa ambako ndo linafanyia Vikao vyake na Tanzania ina Ubalozi na Balozi huko. Balozi wetu kilaza wa Ubelgiji haoni mwenzake aliopo Ufaransa alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuuelewa vizuri zaidi huo uongo na kuukanusha? Balozi kilaza amebidi amwandikie barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kumwomba kumwona kufafanua huo uongo unaoenea Tanzania, haoni ingekuwa haraka Balozi wetu Ufaransa kwenda moja kwa moja Bungeni na kupata ufafanuzi bila kuhitaji viza? Vilaza, vilaza, vilaza wameenea kila mahali!'Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.'
Beberu limemjibu 'NITAKUPANGIA TAREHE YA KUNIONA'.
Kwani tangu lini Donor Country inapigia magoti mabeberu?
Heee! Ina maana siku hizi anavaa gauni kabisa huko Belgium alikotimukia huyu kuwadi wa mabeberu??? Nadhani arudi tu Tanzania, tutamsamehe kwa usaliti, maana kawapiku ujuzi hata waanzilishi wa ile "jumuia" yao.Awamu hii itatatuliwa gauni 😀
Kilaza ni wewe hapo unaeipangia namna ya kufanya kazi serikali usiyoitambua.Huyu Balozi wetu kilaza ndo ana kiherehere kwa nini akanushe yeye anachodai uongo uliokuwa unaenea hapa nchini kuhusu Bunge la EU na huku Umoja huo una Balozi wake nchini? Pili, Ubelgiji ni Makao Makuu ya EU lakini Bunge lake liko Strasbourg, Ufaransa ambako ndo linafanyia Vikao vyake na Tanzania ina Ubalozi na Balozi huko. Balozi wetu kilaza wa Ubelgiji haoni mwenzake aliopo Ufaransa alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuuelewa vizuri zaidi huo uongo na kuukanusha? Balozi kilaza amebidi amwandikie barua Mwenyekiti wa Kamati kumwomba kumwona kufafanua huo uongo unaoenea Tanzania, haoni ingekuwa haraka Balozi wetu Ufaransa kwenda moja kwa moja Bungeni na kupata ufafanuzi bila kuhitaji viza? Vilaza, vilaza, vilaza wameenea kila mahali!
Kwamba hatujapokea pesa ya vivid 19 wakati hatuna corona ama?Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.
View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Tutabisha tutakataa..lakini issue kuu ya hizi conference znazohusu kujibu hoja. "Zote znatakiwa kujibu chanzo chake ambacho ni mwenendo wa uchaguzi wa 28.10.20.".Swali kwa Mtu awaye yeyote mwenye akili "Je uchaguzi ulikua huru na haki "?? If yes "Why and How ?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwani wao hawana mwalilishi Tanzania?Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.
View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Nawaongelea wale watoto wachanga Kenya walioibiwa na madokta, halafu hata BAVICHA hamjatoa tamko. Au kwa vile awamu hii hampati ruzuku???Unaongea utoto gani dogo?
Kwanini tuluchukua ela za beberu while sisi ni dona Katri?Fedha za Corona hazilengi tu upande wa ya ugonjwa lakini pia zinalenga kusaidia madhara yatokanayo na Corona kiuchumi na kijamii
pesa za covid mmezipeleka wapi?Naona kinachowaumiza viongozi wa Upinzani ni kipigo kikali zaidi ya cha Mbwa Koko walichokipata tarehe 28
10.2020 na Mfano Mbowe kuzidiwa na Mtoto mzuri, na kibaya zaidi Wanawake ndiyo wenye nafasi za viti maalum nayo inawauma saaaana mpaka wanaomba aridhi ipasuke
@Securelens umenivunja mbavu yaani wewe mtu umeiba na ukafanya mauaji arafu Polisi wakatangazia dunia kuwa wanafuatilia kuhusu mauaji na wizi uliofanya kwa wazi wazi kwenye jamiii arafu wewe kesho yake unamtuma msaidizi wako polisi kuwa unaomba nafasi ili uweze kukutana nao kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wizi na mauaji ulofanya....ahaa hiki ndicho ulichoandika mkuu ebu fikiria kama kuna akili imetumika hapo duh. Tueleze hapo kuna uhongo gani umetengenezwa wakati hata polisi yenyewe hujaenda kuhojiwa ahaaa..Arafu unahojiwa na Channel CCMKatika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.
View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Ili hata hao wachache wanaowaamini kwenye taarifa potofu wajue ukweliKama ni uongo anakutana naye ili wafanyenini?
Bahati mbaya unajiwekea mwenyewe scenario siyo ya kweli na kujiuliza maswali mwenyewe. Hapa hakuna kesi wala cha polisi. Ni mazungumzo ya two equal partiners@Securelens umenivunja mbavu yaani wewe mtu umeiba na ukafanya mauaji arafu Polisi wakatangazia dunia kuwa wanafuatilia kuhusu mauaji na wizi uliofanya kwa wazi wazi kwenye jamiii arafu wewe kesho yake unamtuma msaidizi wako polisi kuwa unaomba nafasi ili uweze kukutana nao kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wizi na mauaji ulofanya....ahaa hiki ndicho ulichoandika mkuu ebu fikiria kama kuna akili imetumika hapo duh. Tueleze hapo kuna uhongo gani umetengenezwa wakati hata polisi yenyewe hujaenda kuhojiwa ahaaa..Arafu unahojiwa na Channel CCM
Mkuu ,Balozi alihojiwa pia na vyombo vingine ikiwemo Azam TVUkimjua mmiliki wa channel ten huwezi kubishana hapa kwa hicho walichokitangaza!
Nimetoa mfano ulio rahisi kwa kuwa hakuna ubishi kwetu sisi nchi hoehae EU ni kama Polisi tofauti yao na Polisi yetu nikwamba Polisi yao (MISAADA ya EU) maumivu tunayapata Indirect wakati yale ya polisi ya kwetu mtuhumiwa maumivu unayapata direct ahaaBahati mbaya unajiwekea mwenyewe scenario siyo ya kweli na kujiuliza maswali mwenyewe. Hapa hakuna kesi wala cha polisi. Ni mazungumzo ya two equal partiners