Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

Tupo kwenye Vita vya kiuchumi bagosha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Athari za korona unazijua wewe??? By the way, bado hao jamaa zenu wanatoka huko ughaibuni kuja kugombea Tanzania, hivyo hizo Euro zao kiduchu zimetumika kupambana na mafua yao ya Korona .

Unaongea utoto gani dogo?
 
'Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.'

Beberu limemjibu 'NITAKUPANGIA TAREHE YA KUNIONA'.

Kwani tangu lini Donor Country inapigia magoti mabeberu?

Huyu Balozi wetu kilaza ndo ana kiherehere kwa nini akanushe yeye anachodai uongo uliokuwa unaenea hapa nchini kuhusu Bunge la EU na huku Umoja huo una Balozi wake nchini? Pili, Ubelgiji ni Makao Makuu ya EU lakini Bunge lake liko Strasbourg, Ufaransa ambako ndo linafanyia Vikao vyake na Tanzania ina Ubalozi na Balozi huko. Balozi wetu kilaza wa Ubelgiji haoni mwenzake aliopo Ufaransa alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuuelewa vizuri zaidi huo uongo na kuukanusha? Balozi kilaza amebidi amwandikie barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kumwomba kumwona kufafanua huo uongo unaoenea Tanzania, haoni ingekuwa haraka Balozi wetu Ufaransa kwenda moja kwa moja Bungeni na kupata ufafanuzi bila kuhitaji viza? Vilaza, vilaza, vilaza wameenea kila mahali!
 
Awamu hii itatatuliwa gauni 😀
Heee! Ina maana siku hizi anavaa gauni kabisa huko Belgium alikotimukia huyu kuwadi wa mabeberu??? Nadhani arudi tu Tanzania, tutamsamehe kwa usaliti, maana kawapiku ujuzi hata waanzilishi wa ile "jumuia" yao.
 
Huyu Balozi wetu kilaza ndo ana kiherehere kwa nini akanushe yeye anachodai uongo uliokuwa unaenea hapa nchini kuhusu Bunge la EU na huku Umoja huo una Balozi wake nchini? Pili, Ubelgiji ni Makao Makuu ya EU lakini Bunge lake liko Strasbourg, Ufaransa ambako ndo linafanyia Vikao vyake na Tanzania ina Ubalozi na Balozi huko. Balozi wetu kilaza wa Ubelgiji haoni mwenzake aliopo Ufaransa alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuuelewa vizuri zaidi huo uongo na kuukanusha? Balozi kilaza amebidi amwandikie barua Mwenyekiti wa Kamati kumwomba kumwona kufafanua huo uongo unaoenea Tanzania, haoni ingekuwa haraka Balozi wetu Ufaransa kwenda moja kwa moja Bungeni na kupata ufafanuzi bila kuhitaji viza? Vilaza, vilaza, vilaza wameenea kila mahali!
Kilaza ni wewe hapo unaeipangia namna ya kufanya kazi serikali usiyoitambua.
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Kwamba hatujapokea pesa ya vivid 19 wakati hatuna corona ama?
 
taarifa ipi ya upotoshaji?
Nani kampotosha nani?
Video zipo wazi wajumbe wameelekeza maswali kwa rais wa bunge la EU na hakuna popote palipoelekezwa maswali kwa serikali ya Tz au kwa huyo balozi.
Hao wezi watulie mabeberu wawajadili.

Mataga wanahaha kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Naona kinachowaumiza viongozi wa Upinzani ni kipigo kikali zaidi ya cha Mbwa Koko walichokipata tarehe 28
10.2020 na Mfano Mbowe kuzidiwa na Mtoto mzuri, na kibaya zaidi Wanawake ndiyo wenye nafasi za viti maalum nayo inawauma saaaana mpaka wanaomba aridhi ipasuke
Tutabisha tutakataa..lakini issue kuu ya hizi conference znazohusu kujibu hoja. "Zote znatakiwa kujibu chanzo chake ambacho ni mwenendo wa uchaguzi wa 28.10.20.".Swali kwa Mtu awaye yeyote mwenye akili "Je uchaguzi ulikua huru na haki "?? If yes "Why and How ?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Kwani wao hawana mwalilishi Tanzania?
Yan nyie kila kitu ambacho wazungu watakisema basi inakuwa chadema ndio wamepeleka
 
Fedha za Corona hazilengi tu upande wa ya ugonjwa lakini pia zinalenga kusaidia madhara yatokanayo na Corona kiuchumi na kijamii
Kwanini tuluchukua ela za beberu while sisi ni dona Katri?
 
Naona kinachowaumiza viongozi wa Upinzani ni kipigo kikali zaidi ya cha Mbwa Koko walichokipata tarehe 28
10.2020 na Mfano Mbowe kuzidiwa na Mtoto mzuri, na kibaya zaidi Wanawake ndiyo wenye nafasi za viti maalum nayo inawauma saaaana mpaka wanaomba aridhi ipasuke
pesa za covid mmezipeleka wapi?
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
@Securelens umenivunja mbavu yaani wewe mtu umeiba na ukafanya mauaji arafu Polisi wakatangazia dunia kuwa wanafuatilia kuhusu mauaji na wizi uliofanya kwa wazi wazi kwenye jamiii arafu wewe kesho yake unamtuma msaidizi wako polisi kuwa unaomba nafasi ili uweze kukutana nao kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wizi na mauaji ulofanya....ahaa hiki ndicho ulichoandika mkuu ebu fikiria kama kuna akili imetumika hapo duh. Tueleze hapo kuna uhongo gani umetengenezwa wakati hata polisi yenyewe hujaenda kuhojiwa ahaaa..Arafu unahojiwa na Channel CCM
 
Bahati mbaya unajiwekea mwenyewe scenario siyo ya kweli na kujiuliza maswali mwenyewe. Hapa hakuna kesi wala cha polisi. Ni mazungumzo ya two equal partiners
 
Nimetoa mfano ulio rahisi kwa kuwa hakuna ubishi kwetu sisi nchi hoehae EU ni kama Polisi tofauti yao na Polisi yetu nikwamba Polisi yao (MISAADA ya EU) maumivu tunayapata Indirect wakati yale ya polisi ya kwetu mtuhumiwa maumivu unayapata direct ahaa
 
Back
Top Bottom