Mahojiano yalifanyika "live" kila mtu akaona, nawashangaa sijui mnahangaika nini, wametaka maelezo kwanini mlikula pesa za Corona wakati mlisema haipo Tanzania, wakasema nchi yetu imekuwa "regime state" and basing on the results of our past general election, hili nalo ni kweli, mlilazimisha ushindi.
Kuomba kikao na huyo jamaa hakutafuta ukweli huo hapo juu, msituone watoto eti kwasababu mtakaa nae meza moja ndio mtamaliza hilo tatizo, nachojifunza kutokana na haya mahangaiko yenu kumbe hamjiamini, mnajitutumua tu "taifa huru" kuwadanganya wasiojielewa.
Anyway, mmeambiwa mtapangiwa tarehe ya kumuona, na siku huyo balozi akienda mwambieni asitetemeke ndio atazidi kuharibu.