Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

Athari za korona unazijua wewe??? By the way, bado hao jamaa zenu wanatoka huko ughaibuni kuja kugombea Tanzania, hivyo hizo Euro zao kiduchu zimetumika kupambana na mafua yao ya Korona .
VIPI pre form one ....ushaanza?
 
Huyu Balozi wetu kilaza ndo ana kiherehere kwa nini akanushe yeye anachodai uongo uliokuwa unaenea hapa nchini kuhusu Bunge la EU na huku Umoja huo una Balozi wake nchini? Pili, Ubelgiji ni Makao Makuu ya EU lakini Bunge lake liko Strasbourg, Ufaransa ambako ndo linafanyia Vikao vyake na Tanzania ina Ubalozi na Balozi huko. Balozi wetu kilaza wa Ubelgiji haoni mwenzake aliopo Ufaransa alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuuelewa vizuri zaidi huo uongo na kuukanusha? Balozi kilaza amebidi amwandikie barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kumwomba kumwona kufafanua huo uongo unaoenea Tanzania, haoni ingekuwa haraka Balozi wetu Ufaransa kwenda moja kwa moja Bungeni na kupata ufafanuzi bila kuhitaji viza? Vilaza, vilaza, vilaza wameenea kila mahali!
Wewe ndiye kilaza, yaani umeshindwa kujua hata Bunge la Umoja wa Ulaya liko nchi gani? Nadhani hii forum ya great thinkers limekuzidi. Jaribu Facebook
 
Mahojiano yalifanyika "live" kila mtu akaona, nawashangaa sijui mnahangaika nini, wametaka maelezo kwanini mlikula pesa za Corona wakati mlisema haipo Tanzania, wakasema nchi yetu imekuwa "regime state" and basing on the results of our past general election, hili nalo ni kweli, mlilazimisha ushindi.

Kuomba kikao na huyo jamaa hakutafuta ukweli huo hapo juu, msituone watoto eti kwasababu mtakaa nae meza moja ndio mtamaliza hilo tatizo, nachojifunza kutokana na haya mahangaiko yenu kumbe hamjiamini, mnajitutumua tu "taifa huru" kuwadanganya wasiojielewa.

Anyway, mmeambiwa mtapangiwa tarehe ya kumuona, na siku huyo balozi akienda mwambieni asitetemeke ndio atazidi kuharibu, anatakiwa ajiamini hata kama anaongea uongo.
Mnahangaika sana mkuu,

Uchaguzi umeisha hadi 2025. Piganeni na tume huru msiseme hatukuwambia. Maana hata 2015 mlipolalamika kuibiwa kura tuliwaambia hangaikeni na tume huru nyie mkaishia kujadili kingereza cha Magu.
 
Athari za korona unazijua wewe??? By the way, bado hao jamaa zenu wanatoka huko ughaibuni kuja kugombea Tanzania, hivyo hizo Euro zao kiduchu zimetumika kupambana na mafua yao ya Korona .
Ingizo jipya kwenye timu ya Majuha.
Huwe kukuza kiwango cha mchezaji kwa kumbadilishia viatu tu.
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
It is either potential violation of protocol or sheer lie. The EU Parliamentary Foreign Affairs Comm. Chair does not pair protocol with Ambassador to EU.
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi

EU ina ofisi & uwakilishi Tz. Kama serikali inaona kuna upotoshaji kwa nini isiitake EU kupitia ofisi yake Dsm itoe ufafanuzi wa huo upotoshaji?
 
Hujaelewa hoja za huyu jamaa. Yeye anauliza matumizi ya fedha za korona. Jibu ni kwamba zilitumika kupambana na korona. Chenji iliyobaki ni elfu 20, atapewa.
Si mungu amewabariki hakuna Corona pesa mnachukua za nn kiongozi mkuu wa Tanzania ni mwehu fulani hivi
 
Ingizo jipya kwenye timu ya Majuha.
Huwe kukuza kiwango cha mchezaji kwa kumbadilishia viatu tu.
Marudio ya "maingizo" kwenye kundi la majahili.
Huwezi kushusha kiwango cha mchezaji bora kwa kumchafulia vazi.
 
Si mungu amewabariki hakuna Corona pesa mnachukua za nn kiongozi mkuu wa Tanzania ni mwehu fulani hivi
Wewe ndiye mwehu usiyefahamu kwamba lilikuwepo janga la korona Tanzania. Kama hata huwezi kutunza kumbukumbu ya jambo la wazi na la hivi karibuni kama hilo, utakumbuka nini basi???
 
EU ina ofisi & uwakilishi Tz. Kama serikali inaona kuna upotoshaji kwa nini isiitake EU kupitia ofisi yake Dsm itoe ufafanuzi wa huo upotoshaji?
Unamuuliza nini??? Hata wewe unaweza kwenda ukapata ufafanuzi kama unahitaji.
 
Kuwa Balozi kwenye utawala huu wa Magu ni mzigo mkubwa sana!

Kwa kuwa inakubidi uwe msema uwongo hata kwenye masuala ya wazi ya ukweli!

Hivi wewe balozi unawezaje kuushuhudia uwongo kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa huru na wa haki, wakati watu wote tulishuhudia namna uchaguzi huo ulivyovurugwa kwa kiasi cha kutisha, ambapo hata mtoto mdogo anayesoma chekechea atatoa ushihuda huo bila ya wasiwasi wowote?

Hivi kwa mfano hilo Bunge limesema kuwa wametoa pesa za msaada kwa TZ katika kupambana na ugonjwa wa Corona, sasa swali wanalouliza hao mnaowaita mabeberu, je pesa hizo zimepigwa, kwa kuwa Taifa la Tanzania limeutangazia ulimwengu kuwa Taifa hilo halina hata mgonjwa hata mmoja wa Covid 19?
Wanafikiri hao EU ni wajinga na hawjui ni nini kilichofanyika kwenye uchaguzi?
 
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya Mhe David Mc Allister kumwomba apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti huyo na Kamati yake dhidi ya taarifa mbalimbali za upotoshaji. Ameeleza kwenye mahojiano hayo na Channel 10 kuwa jana tarehe 20 Nov, Mwenyekiti huyo alimjibu na kukubali kukutana naye na kwamba atampangia tarehe.

View attachment 1631130
My take:
Kila uongo wanaotengeneza na wana Ufipa unazidi kubainika ndani na nje ya nchi. Ama kweli njia ya mwongo ni fupi
Mwambie huyo balozi wako anahangaika bure , video nzima ya bunge la umoja wa ulaya tumeiona , kwa hiyo ataenda kuibadilisha , mapimbi wa Lumumba ndio wataamini huo utopolo wenu , yaani kamati ya Mambo ya nnje ya EU waache kazi zao kuelekea vikao rasmi vya bunge la umoja wa ulaya na ratiba ipo wapoteze myda na kibaraka wa mhutu .
 
Wewe ndiye mwehu usiyefahamu kwamba lilikuwepo janga la korona Tanzania. Kama hata huwezi kutunza kumbukumbu ya jambo la wazi na la hivi karibuni kama hilo, utakumbuka nini basi???
Mwehu kama huyo niliyemtaja hapo mwanzo yy c anasema Corona iliisha kwa maombi? Pesa anapokea za nini? Tena toka kwa anaowaita MABEBERU? Jinga sana hili zee
 
Huyo bwana si alisema hakujajadiliwa chochote? sasa anaenda kufafanua kitu gani?

Kweli upumbavu ni kipaji [emoji848]
 
Back
Top Bottom