Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko
Siku hiz anayumba yumba sana faza etu huyu.
 
Wakati wa Mwinyi CDF alitoka wapi? Na wakati wa Mkapa je? Seuze JK??[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mwinyi, Mkapa na JK, wote kila mmoja wao alikuwa na matatizo yake lakini sio nepotism!.
P
 
Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]

View attachment 2254455
Yaan Hawa wanasiasa ni wanafik na wapuzi kweli. Mwanajeshi na diplomasia wapi na wapi. Hivi hanma watu waliosomea udiplomasia wakawa wanapewa hivi vyeo Hadi wanajeshi. Mwanajeshi lini akajua kutangaza furusa zilizopo nchin kweli

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Ni administrative posts tu with entitlement na kusubiri Mafaoo ya kustaafu. Tanzania ni Nchi ya amani.
 
Tuhuza za nepotism kwa Kikwete zilikuwepo sana tu,sema Kikwete kilichokua kinambeba ni udogo wa kabila lake, hakuwa na watu wengi waliomzunguka! Hakuwa na watu wengi sana! Mfano Mnikulu Bwana Ngulumo,na Dada mmoja alikua CEO wa TACAIDS kama sijakosea! Tena alikua anaitwa kabisa somebody Dr Mrisho! Kwa Mkapa siwezi kujua sana kipindi hicho nilikua mdogo sana,hadi Mkapa anamaliza muda wake nilikua secondary,form six!

Kipindi cha Magufuli,kabila la wasukuma ni kubwa sana,kila alikua akigusa,anakutana na mtu kutoka kabila lake,na kibaya zaidi aliamini kwamba,akichagua mtu kutoka lake zone,ndiyo atakua Very Royal kwake,kila atakachosema ni ndiyo Mzee! Na washauri wake,walimpoteza sana,maana alikua hashauriki,hivi alishindwa nini kuweka watu wengine zaidi yakujaza kina Ngosha?? Pale Ikulu wasukuma walijaa kibao! Kina Ngusa Samike,na wengine kibao! Kama unabisha angalia siku anazikwa,waliposema familia ya Magufuli wengi walitoka waliokua pale Ikulu,hadi yule jamaa alikua anamletea maji ya kunywa akiwa sehemu anatema hotuba,pia Magufuli alikua anaendesha Nchi kibabe,ukienda nae tofauti,kesi hii hapa,wangapi kawaumiza?? Ni wengi!

Pili Magufuli,hakupenda ushauri, hivi kuna haja gani ya mtu kama Bashiru kumfanya awe KM wa CCM wakati wenzake wana CCM walikua hawamjui?? Polepole pia kuwa Mwenezi wa Chama,wakati wenzake hata hawamjui?? Kuna siku nilikua sehemu,jamaa mmoja akasema Magufuli anawasikiliza watu wawili tu hapa Tanzania Ben na Pengo,wale wakisema John acha,kweli anaacha!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yacoub Mohammed anatoka Zanzibar?
 
Kama Yacoub bado hajafikia umri wa kustaafu basi anafaa sana kwa sababu yeye alikuwa luteni generali kabla ya Mathew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…