FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Field Marshall sio cheo mkuu iyo ni heshima ukishinda Vita nyingiMkuu Selikavu , kwa jeshi letu, kwa vile bado hatuna field Marshall, Generali ndio cheo cha mwisho, hivyo mtu kuwa jenerali ni lazima uwe kwanza Luteni Generali ndio upandishwe kuwa Generali kamili na ngazi hiyo hushikwa na mtu mmoja tuu, CDF.
P
Embu nitajie Duniani ao ma field Marshall unaowajua
Hiyo ni heshima ya kushinda Vita nyingi Kama kiongozi wa platoon