Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
- Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote
- Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi