Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji

View attachment 3071731

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Mungu wabariki Wazungu
Sugu hapo anaonekana kama Tumbiri kakaa na binadam. Kwa mtazamo wa wafaransa kwa Waafrika.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji

View attachment 3071731

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Mungu wabariki Wazungu
Huyu hakumpatia nafasi ya kumtibia bure kwao
 
Man shut your ……huna point yoyote. Kwanza hawakufanya kosa lolote is why hawatoshitakiwa kokote, mbona wahusika hawajajitokeza kukana tuhuma ?

Wapunguze kukurupuka next time, wanawapa wapinzani promo ya bure
Hawaelewi hao bila rungu kila cku wakipigwa raia tuh hawa viongozi hawatajua unchungu wa virungu
 
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Ongea tu huo upumbavu wewe chawa lkn ujue kwamba dunia ni tambara bovu hata Magufuli alifanya hayo hayo na hata huyu naye atakuja kufika tu kwenye 18 za Mungu siku inakuja.
 
Back
Top Bottom