Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanakuitaa suguuu nanii!!Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji
View attachment 3071731
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Mungu wabariki Wazungu
Shetani hana rafiki, zamu ya mamaako ikifika ndio utaelewaWanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
jamaa ametoka ICU jana, au ni leo tu kwaajili ya mazungumzo na balozi? 🐒Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji
View attachment 3071731
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Mungu wabariki Wazungu
Watu mnaandika as if mlisha wahi pigwa na rundo la watuWanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Mna lipi special la kunyemelewa? 😂wameona mambo hayaendi vizuri bukinafaso na Niger wanatunyemelea.
Au awe Waziri wa Mambo ya ndani kabisaAwadh ameupiga mwingi sana Samia asipompa u IGP atakuwa amemuonea sana.
tumadini twetu na tumafuta twa ugandaMna lipi special la kunyemelewa? 😂
Sugu kautaka na chadema yake asa ndio ataandamana kwa kufata taratibu za nchiWatu mnaandika as if mlisha wahi pigwa na rundo la watu
Sugu awe makini na Hawa mabasha wa kizunguKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji
View attachment 3071731
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Mungu wabariki Wazungu
Unalia nini?Sawa.....
Hajaonekana shemeji mke wa komredi Sugu akijifumbata mikono yake mbele ya ugeni huu mzito wa mh.Balozi wa Ufaransa kama ALIVYOJIFUMBATA mbele ya mh.balozi wa marafiki zetu Marekani looh hata kuonekana pia ?!!
Anaudogosha ujumbe wa wafaransa kwa sababu hawana "green cards"?!!! [emoji1787][emoji1787]
#Peace & Love[emoji2956]