Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

kwahiyo nanyie kwa u K wenu mumeenda kujikomba kwa wafaransa dunia nzima inawakimbia nyie mmepata bwana, shenzi zenu

Nimekuambia huna akili, huna ulijualo wewe

Toka kwenye ujinga. Toka kwenye comfort zone. Fight for your country Tanganyika..;!
 
Kongamano la vijana wa Chadema lilikuwa la Kimataifa, halikuwa kongamano la ngoma za kiasili za kinyakyusa linalofadhiliwa na fisadi Tulia
ccm act hawajasomba watu na macosta kwenda unguja na pemba, na watu walikuwa tele, nyie mkaona mtoe soo kwa kukodi macosta yakafanye hamasa huku mzee baba akirandaranda na chopa kama anafukuza tembo serengeti
 

Anzeni na mkimbizi Biseseko Kumpiga chini ubunge. Ameuza ardhi yote yenye Madini mpaka katikati ya mbuga za Wanyama .

Biseseko ni kati ya Wageni waliojilimbikizia latrilioni ya pesa kupitia rasilimali za Watanganyika. Akazawadiwa unaibu Kaka mkuu ili kumkata makali Kaka Mkuu mzalendo wa kweli .

Kama mnabisha basi Biseseko akose uwaziri na Ubunge kama hatarudi Rwanda kuwekeza. Yupo Tanzania kwa sababu ya kuchuma pesa tu na sio kuipenda Tanganyika. Pesa alizonazo atawahonga sana wapiga kura na hata kununua wagombea .
 
Mimi nilikuwa nadhani ni wa Temeke 😀😀😂
 
Ukiangalia kwa makini, Sugu alionyesha ujeuri kwa polisi, zawadi yake ni kipigo. Polisi ukiwasikiliza(wale wenye busara za kipolisi) na kufuata unachoambiwa amani ipo. Ukileta ubishi ujue unabishana na serikali. Alithubutu kusema "mtanifanya nini?"
 
Ukiangalia kwa makini, Sugu alionyesha ujeuri kwa polisi, zawadi yake ni kipigo. Polisi ukiwasikiliza(wale wenye busara za kipolisi) na kufuata unachoambiwa amani ipo. Ukileta ubishi ujue unabishana na serikali. Alithubutu kusema "mtanifanya nini?"
Polisi wa Tanzania wakitumwa na ccm hata ufanyeje watakuua tu, Leo Muulize Muliro sababu ya kuzuia maandamano ya Chadema na Muulize ni lini wale viongozi wa Chadema waliokamatwa watafikishwa Mahakamani hatokujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…