Ninazo hela za kutosha na akili za kutosha. Ila Ubwege wa Sugu umefanya Mbeya tudhalilishwe sana na CHADEMA.
Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.
Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.
Wewe
Erythrocyte Mnyakyusa wa Kyela unatumika vibaya, sijui wanakulipa ngapi kwa kazi unayofanya JF