Balozi wa Uingereza aulizia kombe na medali za Kimataifa alipotembelea Club za Simba na Yanga

Mlicheza shirikisho mkaishia wapi?
Orlando si waliwatoa robo yenu ile?

Onyesha medali basi ya shirikisho kama rahisi

Kiufupi tunapoteza muda wetu hapa wewe dishi limeyumba 🀣🀣🀣
😁😁😁😁😁
Sawa.
  • Kipindi hicho Yanga walikuwa wapi?
  • Mbona mlipangiwa champion League, mkakimbilia shirikisho?

Aliyecheza shirikisho mpk fainal akachukua medali na aliyecheza champion league mpk robo fainali yupi ni timu bora?
 
Shirikisho mlifikaje? Wewe unajitoa akili hata haipendezi
 
Hatuwezi kujifananisha na timu inayo anzia robo inaishia robo
Watu wapo 2022-2023 unaleta habari za 2021-2022. Ukiambiwa lete habari za 2021-2022 unaleta habari za 2022-2023 😁😁😁😁😁
Tatizo haueleweki
Aliyecheza shirikisho 2022-2023 mpk fainal akachukua medali na aliyecheza champion league 2022-2023 mpk robo fainali ipi ni timu bora?
 
Shirikisho mlifikaje? Wewe unajitoa akili hata haipendezi
Watu wapo 2022-2023 unaleta habari za 2021-2022. Ukiambiwa lete habari za 2021-2022 unaleta habari za 2022-2023 😁😁😁😁😁
Aliyecheza shirikisho 2022-2023 mpk fainal akachukua medali na aliyecheza champion league 2022-2023 mpk robo fainali ipi ni timu bora?
 
Sio sisi ni CAF ndio wametupa hio heshima
Watu wapo 2022-2023 unaleta habari za 2021-2022. Ukiambiwa lete habari za 2021-2022 unaleta habari za 2022-2023 😁😁😁😁😁
Aliyecheza shirikisho 2022-2023 mpk fainal akachukua medali na aliyecheza champion league 2022-2023 mpk robo fainali ipi ni timu bora?
 
2023 AFL mmeanzia robo mkaishia robo
 
Orodha ya timu bora imetoka leo
 
Nmeishia robo
😁😁😁😁😁😁😁
Mkiishia robo lazima wanayanga waandae documentary km ya ndondo cup. Kwasababu hivyo vitu huwa wanavisikia tu kwenye ndoto.
Hamna jeuri hiyo😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…